Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

mmmh mwezi mrefu sana navyopenda kwangu mie...penye nguo hapo mmmh labda shati mbili angalau ningetinga
 
Umejitapa kifala sanaaa.. Masweta umenunulia uturuki!... pw bhana
 
Style yako ya kishamba sana,kama unadhani kuna mdada humu atakushobokea PM pole sana.
Kuna utofauti gani ningesema nakulaga wali. Sidhani kama kuna shida. Kuficha lyfstyl nayo ni kazi nyingine. Mbona watu huwa wananunu hapa Xiami toka Ebay. Kuna mwalimu RCT anatuletea bidhaa toka nchi zote. Sijui tatizo lipo wapii
 
Lawama zingine za kimama sana.
Hapo ulibakiza kusema amekula sana chakula kakutia hasara.

Kuna mambo unatakiwa kuwa na upendo juu ya mwenzio, hivi demu yuko kwangu kaipenda t-shirt yangu akivaa ikitanuka nayo nije kulalamika JF?

Mtu unampenda kuvaa nguo yako tu unakula kulalamika? We mwanaume wa wapi ndugu?
 
Wanaume wa kibongo kwa uchoyo jamaniii hamjambo
 
Unanunua nguo eBay alafu zinatanuliwa na chuchu ya mwanamke achia kushindwa kuhimili kitu laini kama mswambwanda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]braza kua sirius basi
 
Back
Top Bottom