Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,375
- 64,587
Anatafuta ndoa mkuu,mpatie haki yake.
Ajabu sana kwakweliMwanaume wa mkoani analia lia
hahaa jf bwanauna hela mahela sana kama nakuona vile siku ya birthday yakoView attachment 896574
Asante bossHapa mlikutana wote maboya. Umenikumbusha shule ya msingi, kuna baadhi ya wanafunzi yupo darasa la sita,lakini, zoezi la Kiswahili, mathalani, maswali ya ufahamu, wao unakuta wanachora kuku , bata na watu wale wa kitoto wenye miguu ya jumlisha. Wewe na huyo mpenzi wako wote mna sifa hizo. Hhahaha
Wadada na wanawake wa humu nawakumbusha tena, "Sio kila akojoae kasimama ni Mwanaume!"
Kuna wanaume na watoto wa kiume ,dada zetu wengi wanashindwa kutofautisha
Hahaahaaa
Nafuu wwmmmh mwezi mrefu sana navyopenda kwangu mie...penye nguo hapo mmmh labda shati mbili angalau ningetinga
"T-shirt of me" kanikumbusha uchungu.
Ishu ni kwann ameharibuDaaahhh. I feel bad kwa kweli. Mtu atavaaje nguo za mwenzake??
Umejitapa kifala sanaaa.. Masweta umenunulia uturuki!... pw bhana
Acha kutudanganya mkuu, hivi mwanamke anawezaje kutanua "suruali" zako bila kuzipeleka kwa fundi ili kuongeza ukubwa wa "kiuno"?? ... Kwa mfano labda wewe unavaa size "32" na yeye kiuno chake labda ni size "36" sasa anawezaje kutanua hiyo suruali bila kuipeleka kwa fundi cherehani???Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.
Jamii forum raha sanaamwache arudi tu kwani hajakuambia kuwa anayo mimba yako,
starehe aliyokupa mtoto wa Dar huwezi pata kwa mwanamke wa Mkoani
na hatakuzalia ng'o ila hela yako tu itatumika mpaka iishe
maana umempa contact zote hata ukihama geto
Hahahahahaha khaaa jamani, ila nahisi huyo ni jobless maana km angekuwa na kazi asingekaa siku zote hizo
Ishia hapo hapo wala usendelee.Acha kutudanganya mkuu, hivi mwanamke anawezaje kutanua "suruali" zako bila kuzipeleka kwa fundi ili kuongeza ukubwa wa "kiuno"?? ... Kwa mfano labda wewe unavaa size "32" na yeye kiuno chake labda ni size "36" sasa anawezaje kutanua hiyo suruali bila kuipeleka kwa fundi cherehani???
Na kama utasema wewe suruali zako ni "free size" yaani zile zinazotanuka, hivi Mwanaume mzima unavaaje suruali au jeans free size?? Jeans ambazo ni free size hizo ni maalumu kwa Wanawake wenye "misambwanda" na siyo wewe mwanaume. Mkuu huu "uzi" wako unatuaibisha sisi Wanaume.
Ila nna wivuhahahahahaha...!! ni PM contact zake..aje huku nilipo