Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Sijui kwanini nacheka mbavu sina. Mada yake au comment yako. Et alizifanyaje tshirt zake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alizitanua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna utofauti gani ningesema nakulaga wali.
Maisha yako umeshayatangaza mara ebay mara nguo za laki saba pyeeeee
Sidhani kama kuna shida. Kuficha lyfstyl nayo ni kazi nyingine. Mbona watu huwa wananunu hapa Xiami toka Ebay. Kuna mwalimu RCT anatuletea bidhaa toka nchi zote. Sijui tatizo lipo wapii
 
Boss hufi na nyie si mna enjoy papuchi...ebu nitumie na mm ticket ya ndege me siku tu zinatosha
Tuma kwanz PC ako tupige kura tuone kaa unastahili kubukiwa ticket ya aeropuleni
 
Mwanaume wa mkoani huyo.
Mie mwanaume wangu nilikuwa namvalia mpaka boksa na singlend ila halalamiki.

Ni kawaida wavulana wa Dar kuvaliana vyupi na wake zao.

Hatushangai hata kidogo kusikia haya. Hongera sana ila elewa huyo ni shogaako
 
Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.

Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.

Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.

Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.

Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.

Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.

Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.

Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.

Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k

Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo

Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.

Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa

Wanawake acheni maudhi jamani.

Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.

Yani nimeumia wajameni balaaa.


Hapa mlikutana wote maboya. Umenikumbusha shule ya msingi, kuna baadhi ya wanafunzi yupo darasa la sita,lakini, zoezi la Kiswahili, mathalani, maswali ya ufahamu, wao unakuta wanachora kuku , bata na watu wale wa kitoto wenye miguu ya jumlisha. Wewe na huyo mpenzi wako wote mna sifa hizo. Hhahaha
 
Hahahhahahaha pole mkuu.
Ndiyo shida ya kudate mwanamke jobless.
Mwanamke mwenye kazi anakuja ijumaa j2 yupo kwenye gari anarudi.
Fanya kumtumia vitu vyake kwenye bus.
Raha sana nikikupata wewe maana nishachoka kuvunjwa
 
Wadada na wanawake wa humu nawakumbusha tena, "Sio kila akojoae kasimama ni Mwanaume!"
 
Kuna wanaume na watoto wa kiume ,dada zetu wengi wanashindwa kutofautisha
 
Back
Top Bottom