nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,953
- 5,829
TafakariHii ina maana gani mkuu
TafakariHii ina maana gani mkuu
Sawa broooAcha kulialia ww mtoto wa kiume
kama una mawazo ya namna hii
nadhani umeanza mambo ya ukubwa
wakati bado una mawazo ya utoto.
mpenzi wako kuvaa nguo zako
siyo jambo la kulilia kwenye mitandao,
ni kawaida sana ,na subiri awe mjamzito
ndo kabisa utatamani uame nchi kabisa.
Una uhakika gani maana huenda ndo kama huyu anakuja lalamika huku huyo dem atajua kuwa jamaa analalamika?Mwanaume wa mkoani huyo.
Mie mwanaume wangu nilikuwa namvalia mpaka boksa na singlend ila halalamiki.
Hahaha kikatili sanaaaTena ndo maana ya mahaba hayoo..yeye alichokosea ni kupenda wa kudanga na angojeee mimba kulea tu... mtumie vitu vyake ktk basi ukimwambia baby nenda ofisi za basi fulani nimekutumia zawadi ataenda. Kupokea na akishapokea mwambie wazazi wako wamekuletea mke hivyo mahusiano yako na yeye yaishe.. mpe makavu kijana.. hahhaa
Sana huyu mwanaume mwenzenu vipiii hajiongezii kumtimua mtu anayemkera...😁😁mfundisheni swaggaz za kutimua vimeo.Hahaha kikatili sanaaa
una hela mahela sana kama nakuona vile siku ya birthday yakoView attachment 896574
Mwanaume unaleta uzi wa kumsema mwanamke hafu hauna hata ishu ya maana ebo!Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.
Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.
Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.
Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.
Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.
Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.
Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.
Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.
Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k
Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo
Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.
Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa
Wanawake acheni maudhi jamani.
Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.
Yani nimeumia wajameni balaaa.
Mwanaume unaleta uzi wa kumsema mwanamke hafu hauna hata ishu ya maana ebo!
Sana huyu mwanaume mwenzenu vipiii hajiongezii kumtimua mtu anayemkera...[emoji16][emoji16]mfundisheni swaggaz za kutimua vimeo.
Hii picha niliiyona jana insta nikasema lazima jf itapostiwa
Tunavaliana kama kawaSasa iv himvalii tena madam
HahahhaTena ndo maana ya mahaba hayoo..yeye alichokosea ni kupenda wa kudanga na angojeee mimba kulea tu... mtumie vitu vyake ktk basi ukimwambia baby nenda ofisi za basi fulani nimekutumia zawadi ataenda. Kupokea na akishapokea mwambie wazazi wako wamekuletea mke hivyo mahusiano yako na yeye yaishe.. mpe makavu kijana.. hahhaa
Ndio mnawataka sisi tunaojitambua hamtutaki mpambaneni na hali zenu.Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.
Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.
Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.
Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.
Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.
Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.
Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.
Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.
Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k
Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo
Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.
Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa
Wanawake acheni maudhi jamani.
Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.
Yani nimeumia wajameni balaaa.
sana na neno mahaba niue hajalielewaa inaonekana😁😁😁😁Hahahha
hayajui mahaba huyoo
Kabisaaasana na neno mahaba niue hajalielewaa inaonekana😁😁😁😁
Ndio mnawataka sisi tunaojitambua hamtutaki mpambaneni na hali zenu.
Watu tunawaza tutaolewa nini wewe unalalamika kama kakijana kamiaka mitatu.
Mo boyfriend wangu kabla hajasepa kimasomo alikuwa anasema darling sipendi uvae nguo zangu ila ukitaka chochote nitakununulia .
Wewe ni mnafiki wakati alipokuja tu ungemwambia sipendi uvae nguo zangu zozote .
Umenielewa.
Halafu mimi boyfriend wangu nilimsanukiaga .
Kwamba akicheat na mtu wanaandikiana mkataba mf. Mimi janeth nikaa kimkataba na james kwa wiki moja sintagusa nguo zake wala vitu ambavyo sijaambiwa nishike kwani ni vya gharama
So ni hivyo na chochote kikipotea ndani nishikwe mimi.
Unasaini unandika tarehe uliingia unaandika nasiku utakayoondoka mumu wangu alikuwa anakaofisi so anaenda ndani anawapatia original na kopi anabakia nayo.
Nimejuaje nilienda ofisini siku moja nikakuta msidhani watu wamo humu mkawazarau.
So kumuuliza anasema niwafanyakazi wazamu kubana mashem wakadai ni michepuko.
So mnapokuwa na wapita njia wapeni mikataba ya nyumba zenu.