Yanga SC yaingia mkataba na GSM wa miaka 5 kutengeneza vifaa vya michezo wenye thamani ya bil 9.1

Nitasubiri kuona mashabiki wa Yanga wakidai kuonyeshwa ni katika akaunti ipi hiyo hela imeingizwa kama jinsi ambavyo walidai kuziona hela za MO, ilikuwa ni swala la muda tu wao kumchutamia GSM hasa baada ya kijana wake mtiifu kushika nafasi ya juu zaidi kwenye club.

Mtakaokuja kutetea naombeni mni-crush kwakuleta hiyo account.

Oooh Simba Sc imeuzwa kwa Mo...Oooh Simba Sc ni mali ya ukoo wa Dewji...kikowapi sasa, mtasema ni mkataba wa miaka kadhaa ila mpaka HERSI anatoka madarakani tayari itakuwa mikononi mwao
Yanga haijauzwa Ni mkataba wa jezi Kama wa Vunja Bei Simba inapata Bilioni 1
Yanga bilioni 2+
 
Kama nyie mmeonyeshwa acc iliyoingizwa ile bil 20 manunuzi ya klabu yenu
 
Mtendaj mkuu wa gsm n eng hersi Rais wa yanga n eng hersi nanukuu maneno yake

"Leo tumeingia mkataba mpya na wenzetu wa gsm"

Angesema hv

"Leo sisi gsm tumeingia mkataba na yanga "

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Yanga haijauzwa Ni mkataba wa jezi Kama wa Vunja Bei Simba inapata Bilioni 1
Yanga bilioni 2+
Huo mkataba ni makubaliano kati ya GSM kwa GSM wenyewe, ndio maana wajanja tunasema Club imeuzwa.

Huelewi nini hapo? Yani Hersi SAIDI ambaye ni Gsm kaingia mkataba na kampuni ya GSM, mwakilishi wa team asiyefungamana ma GSM ni nani??.

Ile tenda ya SIMBA SC kuhusu jersey angeichukua MO pasingekalika humu.
 
Pale unapoamua kujiongopea Hadi wewe mwenyewe, GSM alikuwa anatoa gawio la 1300 Kwa kila jezi ambayo itanunuliwa iliyokuwa inafanya Yanga iingize Hadi 45M Kwa msimu

Kipindi hicho Yanga ilikuwa chini ya mwenyekiti Msolwa, maana yake mazungumzo yalikuwa yanafanyika Kati ya viongozi wa club na wazamini ambao ni GSM na wakafanikiwa kutoka na deal la kupata 1300 Kwa kila jezi

Alafu Leo hii Yanga IPO chini ya GSM wenyewe it means mazungumzo wamefanya wenyewe, ndio wafanye ongezeko la kutoka kupata 45M Kwa mwaka hadi almost 1.5B Kwa mwaka

Tuweni wakweli tu kiuhalisia hakuna kitu kama hicho mtu anaweza kufanya, ila kwakuwa tunafanya Kwa kukomoana basi wanataja tu manamba ili kuonesha kwamba udhamini wa Simba ulikuwa ni mdogo

ila kwakuwa tupo Nchi ambayo tunapenda uongo kuliko ukweli acha twende tu, tunasubiri pia Simba waje na mkataba unaosema watapata 20B Kwa miaka 4
Akuna kitu kama icho kama ambavyo akuna udhamini wa b.26 ulioandikwa kwenye jezi au sio bwana mbumbumbu, Maana uongo walianza wale wa b.26 zilizosainiwa kwenye jezi na bado wakashindwa dau la kumsajili Manzoki, Adebayor, molaye Sila na ata Aziz ki, thamani ya udhamini inatakiwa iendane na uhalisia wa uwekezaji sasa hapo sijui nani anaedanganya kati ya Mo na Gsm
 
Back
Top Bottom