Yanga SC yaingia mkataba na GSM wa miaka 5 kutengeneza vifaa vya michezo wenye thamani ya bil 9.1

Sasa hapa uto mnaaminije kwamba hiyo pesa kweli ataiweka GSM kwenye akaunti wakati mkurugenzi mwenyewe wa kampuni ndiye m/kiti wa klabu?Hamuoni kwamba hapa kuna mgongano wa kimaslahi?

Mwanafunzi wa darasa la 7 kajitungia mtihani mwenyewe, kaufanya mwenyewe kajisimamia mwenyewe , kajisahihisha mwenyewe, Matokeo anapanga mwenyewe , anasoma Matokeo mwenyewe , halafu anawalazimisha drs la 1 hadi 6 wamshangilie na kweli wanamshangilia .Maajabu hayaishi nchi hii.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
mzee mfano wako haufai,Yale ni Mambo ya kimkataba (makubaliano ya pande zote mbili) NI RAHISI kuhoji Kama Mambo hayaeleweki na tunaanzia kupitia mikataba,yaani RAHISI Sana!
Sasa Mambo ya kujitungia mtihani wapi na wapi
 
Back
Top Bottom