Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,744
Tanzania Prisons. Nawapa tahadhali.yanga inashinda bao si chini ya Mbili ama sivyo mbadilishe keeper na mabeki wale wawili. Wafungaji wa yanga wamepangwa wawe Molinga na mmoja ya wale wawili waliosajiliwa juzi juzi.
Hali hii itawaweka kwenye mori na kurudisha imani kwa GSM ambao watu walishaanza kuwaona kama ndo chanzo.
Nawaambia leo yanga inampiga TZ PRISONS SI CHINI YA BAO 2. Matokeo yapo tayari. Yanga SC isiposhinda leo nipigwe Ban ya masaa 48.