Yanga SC leo inaishinda Tanzania Prisons kirahisi isiposhinda nipigwe Ban

Dkk ya 33 mchezaji wa Yanga Japhary Mohamed ananawa mpira eneo la Hatari mwamuzi anapetta.
Kweli soka letu limekua.....
There will be no penalty if:

  • the ball touches a player's hand/arm immediately from their own head/body/foot or the head/body/foot of another player.
  • the ball touches a player's hand/arm close to their body and has not made their silhouette unnaturally bigger.
  • a player is falling and the ball touches their hand/arm when it is between their body and the ground (but not extended to make the body bigger).
  • additionally, should the goalkeeper attempt to clear a ball from a teammate but fails, the goalkeeper is allowed to handle the ball.
  • NB:kamwambie Manara afanye translation
 
TZ Prisons. Nawapa tahadhali.yanga inashinda bao si chini ya Mbili ama sivyo mbadilishe keeper na mabeki wale wawili. Wafungaji wa yanga wamepangwa wawe Molinga na mmoja ya wale wawili waliosajiliwa juz juz.

Hali hii itawaweka kwenye mori na kurudisha imani kwa GSM ambao watu walishaanza kuwaona kama ndo chanzo.

Nawaambia leo yanga inampiga TZ PRISONS SI CHINI YA BAO 2. Matokeo yapo tayari. Yang isiposhinda leo nipigwe Ban ya masaa 48.
na kweli ikawa.
 
Back
Top Bottom