Yanga SC leo inaishinda Tanzania Prisons kirahisi isiposhinda nipigwe Ban

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,495
23,666
Tanzania Prisons. Nawapa tahadhali.yanga inashinda bao si chini ya Mbili ama sivyo mbadilishe keeper na mabeki wale wawili. Wafungaji wa yanga wamepangwa wawe Molinga na mmoja ya wale wawili waliosajiliwa juzi juzi.

Hali hii itawaweka kwenye mori na kurudisha imani kwa GSM ambao watu walishaanza kuwaona kama ndo chanzo.

Nawaambia leo yanga inampiga TZ PRISONS SI CHINI YA BAO 2. Matokeo yapo tayari. Yanga SC isiposhinda leo nipigwe Ban ya masaa 48.
 
TZ Prisons. Nawapa tahadhali.yanga inashinda bao si chini ya Mbili ama sivyo mbadilishe keeper na mabeki wale wawili. Wafungaji wa yanga wamepangwa wawe Molinga na wale wawili waliosajiliwa juz juz.

Hali hii itawaweka kwenye mori na kurudisha imani kwa GSM ambao watu walishaanza kuwaona kama ndo chanzo.

Nawaambia leo yanga inampiga TZ PRISONS SI CHINI YA BAO 2. Matokeo yapo tayari. Yang isiposhinda leo nipigwe Ban ya masaa 48.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ina maana wasicheze matokeo tayari unayo, tulia nitakucheki baada ya mechi nikupe kubwa moja tu,
 
Endelea kulala ukiamka utakuta Yanga wako lupango wanasubiria watolewe kwa dhamana
 
TZ Prisons. Nawapa tahadhali.yanga inashinda bao si chini ya Mbili ama sivyo mbadilishe keeper na mabeki wale wawili. Wafungaji wa yanga wamepangwa wawe Molinga na wale wawili waliosajiliwa juz juz.

Hali hii itawaweka kwenye mori na kurudisha imani kwa GSM ambao watu walishaanza kuwaona kama ndo chanzo.

Nawaambia leo yanga inampiga TZ PRISONS SI CHINI YA BAO 2. Matokeo yapo tayari. Yang isiposhinda leo nipigwe Ban ya masaa 48.
pumbavu kabisa CCM wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dkk ya 33 mchezaji wa Yanga Japhary Mohamed ananawa mpira eneo la Hatari mwamuzi anapetta.
Kweli soka letu limekua.....
 
Chura fc wamebebwa
TZ Prisons. Nawapa tahadhali.yanga inashinda bao si chini ya Mbili ama sivyo mbadilishe keeper na mabeki wale wawili. Wafungaji wa yanga wamepangwa wawe Molinga na wale wawili waliosajiliwa juz juz.

Hali hii itawaweka kwenye mori na kurudisha imani kwa GSM ambao watu walishaanza kuwaona kama ndo chanzo.

Nawaambia leo yanga inampiga TZ PRISONS SI CHINI YA BAO 2. Matokeo yapo tayari. Yang isiposhinda leo nipigwe Ban ya masaa 48.

Jr
 
Back
Top Bottom