Tanzania Prisons mchunguzeni kipa wenu na mabeki wawili waliocheza mechi na Yanga.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Refer hili angalizo ambalo nililitoa kabla ya mechi.

Tunafahamu vilabu vya simba na yanga michezo inayofanyika wanapokutana na baadhi ya team ambazo hawana uhakika nazo. This time yanga hili suala wameliundia kamati kabisa.

Nmejaribu kuwafutialia simba baada ya kuja kiongozi wao msouth wamebadilika sana maana yeye binafsi anapinga fitna na ushirikina.

Yanga wameendelea kupitia kamati yao ambayo inaongozwa na baadhi ya watu wa karibu sana na GSM. Hii inafanya kazi ya kuwaona team pinzani baadhi ya wachezaji ili kuwapatia ushindi.

Na wamekuwa na nia ya kumpromote molinga na morrison ili waweze tengeneza brand yao hivyo hawa hupewa kipaumbele cha kufunga.

Nawaambia TANZANIA PRISONS WAULIZENI VIZURI WACHEZAJI WENU BACK ZILE MBILI KARIBU NA KIPA NA KIPA MWENYEWE.ZILE PESA NDO ZILIWAFANYA WAUZE MECHI. HUKU REFA NAYE AKIWA AMEPEWA CHAKE
 
Nonsense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga yenyewe inapumulia mashine kifedha itatoa wapi za kununua mechi?? Ingekuwa simba sawa kwani wanazo lakini si yanga
 
wanaonunua mechi, marefa, tim pinzan, tff na hata kuharibu soka la TZ wanajulikana, ushaidi mzuuurrrii kabisa usiyo na mashaka upo, kibaya zaidi TAKUKURU wamelala usingizi wa pono badala ya kusweka rumande siku kwa 1454
 
Refer hili angalizo ambalo nililitoa kabla ya mechi.

Tunafahamu vilabu vya simba na yanga michezo inayofanyika wanapokutana na baadhi ya team ambazo hawana uhakika nazo. This time yanga hili suala wameliundia kamati kabisa.

Nmejaribu kuwafutialia simba baada ya kuja kiongozi wao msouth wamebadilika sana maana yeye binafsi anapinga fitna na ushirikina.

Yanga wameendelea kupitia kamati yao ambayo inaongozwa na baadhi ya watu wa karibu sana na GSM. Hii inafanya kazi ya kuwaona team pinzani baadhi ya wachezaji ili kuwapatia ushindi.

Na wamekuwa na nia ya kumpromote molinga na morrison ili waweze tengeneza brand yao hivyo hawa hupewa kipaumbele cha kufunga.

Nawaambia TANZANIA PRISONS WAULIZENI VIZURI WACHEZAJI WENU BACK ZILE MBILI KARIBU NA KIPA NA KIPA MWENYEWE.ZILE PESA NDO ZILIWAFANYA WAUZE MECHI. HUKU REFA NAYE AKIWA AMEPEWA CHAKE
Kwa hiyo unakili ndiyo ulikuwa mchezo wa Simba lakini mmeachakufuatiia ujio wa Msauzi?
Siku zote imekuwa ya kwenu sio Yanga. Mbona kwenye hirizi Simba bado ipo vizuri?
 
Refer hili angalizo ambalo nililitoa kabla ya mechi.

Tunafahamu vilabu vya simba na yanga michezo inayofanyika wanapokutana na baadhi ya team ambazo hawana uhakika nazo. This time yanga hili suala wameliundia kamati kabisa.

Nmejaribu kuwafutialia simba baada ya kuja kiongozi wao msouth wamebadilika sana maana yeye binafsi anapinga fitna na ushirikina.

Yanga wameendelea kupitia kamati yao ambayo inaongozwa na baadhi ya watu wa karibu sana na GSM. Hii inafanya kazi ya kuwaona team pinzani baadhi ya wachezaji ili kuwapatia ushindi.

Na wamekuwa na nia ya kumpromote molinga na morrison ili waweze tengeneza brand yao hivyo hawa hupewa kipaumbele cha kufunga.

Nawaambia TANZANIA PRISONS WAULIZENI VIZURI WACHEZAJI WENU BACK ZILE MBILI KARIBU NA KIPA NA KIPA MWENYEWE.ZILE PESA NDO ZILIWAFANYA WAUZE MECHI. HUKU REFA NAYE AKIWA AMEPEWA CHAKE
Alisikika mbumbumbu akisema

Wewe si una ushahidi wa hili tukio, si uende ukaifungulie kesi huko TAKUKURU sio kulia lia humu jf kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usituhamishe njia wewe.Wanunuzi wa mechi wanajulikana.Sio kuhamisha goli liache zikae pale pale.Mamlaka zitaamua mbivu na mbichi.Hakuna cha wachezaji wala nini.Kwa nini husemi manula simba imchunguze? Yani prison iliyofungwa hadi na namungo 3-2 ndo Takukuru wakahangaike na Yanga waache kuhangaika na jamaa ambaye baada ya power bank kuondolewa akitepweta.Tunataka tujue magoli yale ya msimu uliopita alifunga kihalali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Refer hili angalizo ambalo nililitoa kabla ya mechi.

Tunafahamu vilabu vya simba na yanga michezo inayofanyika wanapokutana na baadhi ya team ambazo hawana uhakika nazo. This time yanga hili suala wameliundia kamati kabisa.

Nmejaribu kuwafutialia simba baada ya kuja kiongozi wao msouth wamebadilika sana maana yeye binafsi anapinga fitna na ushirikina.

Yanga wameendelea kupitia kamati yao ambayo inaongozwa na baadhi ya watu wa karibu sana na GSM. Hii inafanya kazi ya kuwaona team pinzani baadhi ya wachezaji ili kuwapatia ushindi.

Na wamekuwa na nia ya kumpromote molinga na morrison ili waweze tengeneza brand yao hivyo hawa hupewa kipaumbele cha kufunga.

Nawaambia TANZANIA PRISONS WAULIZENI VIZURI WACHEZAJI WENU BACK ZILE MBILI KARIBU NA KIPA NA KIPA MWENYEWE.ZILE PESA NDO ZILIWAFANYA WAUZE MECHI. HUKU REFA NAYE AKIWA AMEPEWA CHAKE
Ngoja niingie kazini
 
Back
Top Bottom