Tanzania Prisons 1-2 Yanga Sc | Uwanja Wa Mandela | Ligi Kuu Tanzania Bara

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
NBC Premier League leo Jumapili, Vinara Yanga SC wapo ugenini katika dimba la
Nelson Mandela kuwavaa maafande wa Tanzania Prisons. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa hawajapoteza mchezo wowote. Je Pira gwaride kuvunja rekodi hi ama wananchi wataendeleza rekodi yao?

Mechi hii itakuwa Live Hapa Kuanzania Saa 10 Jioni Ya Leo.

==========

Mpira umeisha uwanja wa Mandela Sumbawanga kwa Tanzania Prisons kukubali kichapo cha goli 1-2 dhidi ya Yanga. Prisons walitangulia kuliona lango lakini Fei Toto aliweka mzani sawa na Khalid Aucho kuifungia Yanga bao la ushindi. Prisons 1-2 Yanga Afrika.
 
Kila lenye kheri timu ya wananchi na mpira wetu sisi tunajua una tokeo moja tu la kushinda ila matokeo mengine ni bahati mbaya tu
 
IMG_2194.jpg
 
Duh huko Dar influenza imeamua kweli kuwakamia, hivi miaka ya nyuma wachezaji walikuwa wanaumwa kwa mpigo hivi?
 
Yanga wameamua kucheza mind game na kuwadanganya prisons kuwa key players wao wagonjwa kumbe wote wazima, hii inaonyesha ni namna gani yanga ni underdog na waoga wakubwa.
 
Back
Top Bottom