Wazee wa Yanga wanavunja mkataba wa bil. 41 kisa mchezaji wa mil. 700

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Hakika nimeshangazwa sana na wazee wa Yanga kuleta siasa kwenye mpira. Kuna wakati Yanga waligoma kuvaa jezi zenye nembo ya Twiga mwenye rangi nyekundu ambaye ni nembo ya mdhamini wa ligi kuu benki ya NBC kisa rangi nyekundu ni moja ya rangi ya klabu za Simba na hawa wazee waliitisha press kuwa watakwenda kuishtaki TFF kwa Rais.

Nilijiuliza kwani kuvaa jezi zenye nembo ya twiga mwekundu kunaidhuru nini Yanga? Mbona Yanga haikatai noti zenye rangi nyekundu?

Juzi wazee hao hao wameibuka na jipya eti watawashawishi wafuasi wao wasusie bidhaa za Azam kisa klabu ya Azam kumtaka mchezaji wao Fei Toto. Ukweli nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wazee.

Wazee hawa wanasahau klabu ya Yanga ina mkataba na Azam wa tsh.bil.41 leo wanataka kuvunja mkataba kisa klabu ya Azam inamtaka mchezaji wao Fei Toto mwenye thamani ya sh.mil.700 kweli wazee hawa wana akili kweli uvunje mkataba wa bil.41 kwa mil.700?

Ushauri kwa viongozi wa Yanga ingeacha kuwapa kipau mbele hawa wazee kwenye mambo makubwa kama haya wazee hawa wabaki washauri tu hasa kwenye mambo ya kamati za ufundi.

officialpriscakishamba_1672233912256469.jpg
 
Nadhani humu jf kuna wazee wa yanga,wataje kama unawajua mi naanza na ....
 
Hakika nimeshangazwa sana na wazee wa Yanga kuleta siasa kwenye mpira. Kuna wakati Yanga waligoma kuvaa jezi zenye nembo ya Twiga mwenye rangi nyekundu ambaye ni nembo ya mdhamini wa ligi kuu benki ya NBC kisa rangi nyekundu ni moja ya rangi ya klabu za Simba na hawa wazee waliitisha press kuwa watakwenda kuishtaki TFF kwa Rais.

Nilijiuliza kwani kuvaa jezi zenye nembo ya twiga mwekundu kunaidhuru nini Yanga? Mbona Yanga haikatai noti zenye rangi nyekundu?

Juzi wazee hao hao wameibuka na jipya eti watawashawishi wafuasi wao wasusie bidhaa za Azam kisa klabu ya Azam kumtaka mchezaji wao Fei Toto. Ukweli nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wazee.

Wazee hawa wanasahau klabu ya Yanga ina mkataba na Azam wa tsh.bil.41 leo wanataka kuvunja mkataba kisa klabu ya Azam inamtaka mchezaji wao Fei Toto mwenye thamani ya sh.mil.700 kweli wazee hawa wana akili kweli uvunje mkataba wa bil.41 kwa mil.700?

Ushauri kwa viongozi wa Yanga ingeacha kuwapa kipau mbele hawa wazee kwenye mambo makubwa kama haya wazee hawa wabaki washauri tu hasa kwenye mambo ya kamati za ufundi.

View attachment 2461492
Itakua ni huyo mwenye barakashia
 
Kataeni matumizi ya msimbazi mtani. Daini Samia atengeneze noti ya 10,000 ya kijani na njano iende sambamba na matumizi ya nyekundu na nyeupe😂🤣😅
Ila hizi mambo ni za kupita Mtani.

Soon mambo yanakaa sawa tunaendelea na mengine na hutakaa usikie tena hizi kauli tena pia usije shangaa wakasema tuliongea tukiwa na hasira ila hatukumaanisha. 😅😅
 
Hakika nimeshangazwa sana na wazee wa Yanga kuleta siasa kwenye mpira. Kuna wakati Yanga waligoma kuvaa jezi zenye nembo ya Twiga mwenye rangi nyekundu ambaye ni nembo ya mdhamini wa ligi kuu benki ya NBC kisa rangi nyekundu ni moja ya rangi ya klabu za Simba na hawa wazee waliitisha press kuwa watakwenda kuishtaki TFF kwa Rais.

Nilijiuliza kwani kuvaa jezi zenye nembo ya twiga mwekundu kunaidhuru nini Yanga? Mbona Yanga haikatai noti zenye rangi nyekundu?

Juzi wazee hao hao wameibuka na jipya eti watawashawishi wafuasi wao wasusie bidhaa za Azam kisa klabu ya Azam kumtaka mchezaji wao Fei Toto. Ukweli nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wazee.

Wazee hawa wanasahau klabu ya Yanga ina mkataba na Azam wa tsh.bil.41 leo wanataka kuvunja mkataba kisa klabu ya Azam inamtaka mchezaji wao Fei Toto mwenye thamani ya sh.mil.700 kweli wazee hawa wana akili kweli uvunje mkataba wa bil.41 kwa mil.700?

Ushauri kwa viongozi wa Yanga ingeacha kuwapa kipau mbele hawa wazee kwenye mambo makubwa kama haya wazee hawa wabaki washauri tu hasa kwenye mambo ya kamati za ufundi.

View attachment 2461492
Mkuu kwani kwenye hilo kundi wale wazee wawili nao wamo? sidhani aisee
 
Back
Top Bottom