Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa - Igunga

Lowassa is our common friend just as CCM is our common enemy! Mvua inyeshe jua liwake mabadiliko ni lazima.

Safari moja kwa moja to magogoni
 
Pokea LIKE ✌🏿️
 
mimi sijui ila mke wa mgombea wa upande mwingine sijawahi mwona,hata siku ile jangwani alisahau kumtambulisha

Inatubidi tuanze kuwekea question mark?????????????
 
Ajuaye Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama! What shall separate us from the love of God? is it SICKNESS? NO!CCM is our common ENEMY.

Haswaaaaaaaa😁😀😀😀
 
Rais ajaye wa tz ni Makufuli huyo wa mbwembwe ni laisi wa monduli yani magogoni atapasikia tu mpaka atakufa bika kufikamo ccm oyeeeeee

Mkuu kwa jinsi ulivyoandika unatakiwa umpe kura yako lowassa ili ufaidi kusoma bila kulipa ada,
Maana kama unalipa ada na unaandika hivi :-( dah! Kweli ccm inashabikiwa na wendawazimu
 
mabadiliko yanaongozwa na wannchi wenyewe sio viongozi ,ukitaka kuyazuia rudi kwa wanachi wenyewe viongozi hawatoweza
Umenena mkuu. Sisi jimbo la ubungo kampeni za masaburi hatuendi. Kampeni alikuwa na watu hamsini hawafiki. Tumemwambia Kubenea asitumie nguvu nyingi kampeni. Tunamfanyia sisi kampeni Nyumba kwa Nyumba. Tumeruhusu wananchi wapokee Hela ya fisadi masaburi kwa kuwa anarejesha alizoibia watanzania. Kichinjio October kinamsuburi Masaburi. Lowasa na Kubenea watosha.
 
Vipi MAKAMANDA hapo Igunga, Lowassa ameshawasili?
 
Mkuu kibogo sasa Lowasa amepaa na upo huru warushie wadau mapicha ya garika.lile garika ni hatari uwanja umejaa na barabara zimefunga,watu hawakujali vumbi la chopa,maduka yamefunga kwenda kumsikia patient politician never hapen before...Lowasa anatisha wakuu tuache masihara.naambiwa anaenda nzega
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…