Wakuu
Leo ndio siku iliyosubiriwa kwa hamu na wananchi wa Igunga kumpokea na kumsikiliza kiongozi huyu ambaye in kipenzi cha wapenda mabadiriko hivyo tuwe tayari kupokea updates mbalimbali za tukio hili kamanda wenu nipo tayari kuwawakilisha, karibuni sana.
...
....Lowassa Mabadiliko Shinyanga imetapika Igunga balaa
Ccm mwaka huu wataifilisi hazina kwa kuhonga akina Slaa na genge lake, tv karibu zote isipokuwa itv na azam tv naona hizo nyingine zinakazana kupinga mabadiliko. Lakini nawakumbusha kuwa, ktk vita Siku zote Mungu yupo upande wa haki. Tumechoka kuibiwa, tumechoka kuwa watumwa ktk ardhi yetu yenye kila aina ya utajiri. Bye bye ccm
Yan akipita watu wanafanya mambo yao mpaka oct 25 washasahau chezea watanzania hapa kazi tu ccm hana mpinzani pigeni kelele mgeuzwe tu
Raisi mtarajiwa Lowasa huyo anakuja na tanzania mpya hakika chaguo la wengi ni chaguo la Mungu.
Wasiotaka mabadaliko mwaka huu mtaisoma namba .
Yan akipita watu wanafanya mambo yao mpaka oct 25 washasahau chezea watanzania hapa kazi tu ccm hana mpinzani pigeni kelele mgeuzwe tu
Kamanda mwenye huu Uzi,uko wapi,mi niko hapa hapa kwenye mkutano Igunga.Naomba tufahamiane niko kwenye hill jukwaa la zamani
Makamanda piiiiiiipooooooozz
Hatuna mda wa kusikiliza mgonjwa na fisadi akaongoze mafisadi wenzake huko hatunq habari naye siye hapa kazi tu umbea peleka ukawa.Wakuu
Leo ndio siku iliyosubiriwa kwa hamu na wananchi wa Igunga kumpokea na kumsikiliza kiongozi huyu ambaye in kipenzi cha wapenda mabadiriko hivyo tuwe tayari kupokea updates mbalimbali za tukio hili kamanda wenu nipo tayari kuwawakilisha, karibuni sana.
Kweli mkuu kwa ufisadi ni hariiiiiiiiiiiiii.Lowasa hatariiiiiii
Kamsababisha Mihogo akimbie Azam TV
Saaaaaaaaaaaaaaaaaaafi sanaNilifurahi sana jinsi mashabiki wa timu ya taifa jana walivyo wakilisha rais lowassa kwa kushangilia kimabadiliko hongerini sana pamoja tuna weza .Adi mda huu ccm ipo hoi !
Hatuna mda wa kusikiliza mgonjwa na fisadi akaongoze mafisadi wenzake huko hatunq habari naye siye hapa kazi tu umbea peleka ukawa.