Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,020
Hatuna mda wa kusikiliza mgonjwa na fisadi akaongoze mafisadi wenzake huko hatunq habari naye siye hapa kazi tu umbea peleka ukawa.
Nenda kwenye thread ya spika bovu haina wachangiaji
Hatuna mda wa kusikiliza mgonjwa na fisadi akaongoze mafisadi wenzake huko hatunq habari naye siye hapa kazi tu umbea peleka ukawa.
Lowasa kata mbuga baba,ninakusapoti coz unamthamini mke wako,hivyo na wananchi utatuthamini
Kweli mkuu kwa ufisadi ni hariiiiiiiiiiiiii.
Kamanda mwenye huu Uzi,uko wapi,mi niko hapa hapa kwenye mkutano Igunga.Naomba tufahamiane niko kwenye hill jukwaa la zamani
Hatuna mda wa kusikiliza mgonjwa na fisadi akaongoze mafisadi wenzake huko hatunq habari naye siye hapa kazi tu umbea peleka ukawa.
Ebu ipe neno lolote hii video hapa chini
Hatuna mda wa kusikiliza mgonjwa na fisadi akaongoze mafisadi wenzake huko hatunq habari naye siye hapa kazi tu umbea peleka ukawa.
mimi sijui ila mke wa mgombea wa upande mwingine sijawahi mwona,hata siku ile jangwani alisahau kumtambulishakwani mkulu na magu hawawathamin wake zao
Rais ajaye wa tz ni Makufuli huyo wa mbwembwe ni laisi wa monduli yani magogoni atapasikia tu mpaka atakufa bika kufikamo ccm oyeeeeee
Jamani, watu wanajaa kumshangaa kiongozi wa mafisadi.
Lowasa hatariiiiiii
Kamsababisha Mihogo akimbie Azam TV
Mungu akulinde sana mkuu .Mkuu zitakuwepo za kutosha maandalizi yamekamilika ifikapo SAA 7 mambo yataanza.
una roho ngumu sana !Hatuna mda wa kusikiliza mgonjwa na fisadi akaongoze mafisadi wenzake huko hatunq habari naye siye hapa kazi tu umbea peleka ukawa.