Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa - Igunga

Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa - Igunga

Makamba anasema Tenda zote za halmashauri ya Monduli Lowasa kampa Dadaake, hebu UKAWA jibuni hoja

Angetuambia pia kuwa halmashauri ya Monduli inaongozwa na chama gani?
 
Makamba anasema Tenda zote za halmashauri ya Monduli Lowasa kampa Dadaake, hebu UKAWA jibuni hoja

mwambie huyo makamba akasome sheria za manunuzi zinasemaje kuhusu mchakato wa zabuni kuna procuring entity,Pmu,tender board n.k sasa lowasa anakosa gani wakati tenda hatoi yeye?
 
Kama alipata tenda kwa mujibu wa kanuni ya manunuzi bila shinikizo ni sawa
 
Makamba anasema Tenda zote za halmashauri ya Monduli Lowasa kampa Dadaake, hebu UKAWA jibuni hoja

halmashauri kuna tenda nyingi zaidi ya 50,mwambie afafanue.kuna tenda za mafuta,vyakula,stationary,ulinzi,
 
Uzi wa ka-Magufuli unaozungumzia habari za Morogoro unawachunguliaji wachache kweli ukilinganisha na uzi wa Mh. Rais Lowassa. Kwa Magufuli kule Morogoro ni kama inavyoonekana hapa chini.

  • Replies: 117
  • Views: 1,757

Wakati kule kwa Lowassa kule Igunga wachunguliaji walikuwa zaidi ya 11,600. Hii inaleta taswira gani kwa hawa jamaa wa Magamba?
 
Makamba anasema Tenda zote za halmashauri ya Monduli Lowasa kampa Dadaake, hebu UKAWA jibuni hoja
Aaaaah Monduli tenda huwa zinatolewa na Lowassa? Hiyo Halmashauri vipi?
 
Uzi wa ka-Magufuli unaozungumzia habari za Morogoro unawachunguliaji wachache kweli ukilinganisha na uzi wa Mh. Rais Lowassa. Kwa Magufuli kule Morogoro ni kama inavyoonekana hapa chini.

  • Replies: 117
  • Views: 1,757

Wakati kule kwa Lowassa kule Igunga wachunguliaji walikuwa zaidi ya 11,600. Hii inaleta taswira gani kwa hawa jamaa wa Magamba?

kaka kikwete hata kaa amsahau lowassa katika maisha yake. Maana atalia machozi mwaka uhu.
 
When God says yes no body can say no. Chaguo la wengi ndio chaguo la mungu, kwa maana hyo Lowasa chaguo la mungu. Wale wadudu wa kijana n chaguo la mashetani n ndio maana mambo Yao yanaendesha kigizagiza.

Mambo yao yanaenda kigiza giza na mafisi
 
Rais ajaye wa tz ni Makufuli huyo wa mbwembwe ni laisi wa monduli yani magogoni atapasikia tu mpaka atakufa bika kufikamo ccm oyeeeeee

Kama ni wewe mwenyewe unampeleka Ikulu ndio tutakuelewa.likini sisi wananchi tunaoichukia ccm ndio tunamhitaji El na tutampeleleka Ikulu kwa kura zetu.
 
Makamba anasema Tenda zote za halmashauri ya Monduli Lowasa kampa Dadaake, hebu UKAWA jibuni hoja

Lowassa ndio alikuwa mgawaji wa tenda? Hapo ndio ndani ya CCM shida sio mtu bali mfumo mbovu!
 
Tatizo ni muda wa kampeni yaani saa moja na nusu tu halitoshi kabisa
 
wakuu makamba katoa hotuba ya kinafiki na watu wakamchunia ,anasema lowasa ana ranchi karibu sita na hiyo ya Tanga anatembelea kwa helcopter mifugo ilvyo mingi-sasa nashangaaa walitaka Dangote aje atuzalishie mifugo wampe hekari 2500 kama Mtwara? Inakuwaje waziri anajisifia kiwanda cha Dangote anasema tumejenga haoni aibu? unalalamikia wawekezaji wa ndani unachekelea wawekezaji wa nje
 
Back
Top Bottom