Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa - Igunga

Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa - Igunga

Mkuu zitakuwepo za kutosha maandalizi yamekamilika ifikapo SAA 7 mambo yataanza.

Nina wasiwasi wewe hupo eneo la mkutano. Hata kama utakuwa Igunga pengine ni mipakani unasubiri tu picha za watakaorusha wenzio na wewe udakie hapo. Kama kweli upo uwanja utakapofanyika mkutano umeshindwa hata kutuonyesha jukwaa lilivyo? Fanya hivyo kabla hujaumbuka zaidi.
 
Wakuu
Leo ndio siku iliyosubiriwa kwa hamu na wananchi wa Igunga kumpokea na kumsikiliza kiongozi huyu ambaye in kipenzi cha wapenda mabadiriko hivyo tuwe tayari kupokea updates mbalimbali za tukio hili kamanda wenu nipo tayari kuwawakilisha, karibuni sana.

Mkuu asante sana kwa kutujulisha hilo
 
Daah! Hizi zote ni ghazabu au nini, kidogo nidondoke...... Aiseh! Na hapo kura bado hazijapigwa!!!!

Akili yako fupi lipia star TV au channel ten mikutano yenu ionekane live acha kulalamaaaa.
 
Nilifurahi sana jinsi mashabiki wa timu ya taifa jana walivyo wakilisha rais lowassa kwa kushangilia kimabadiliko hongerini sana pamoja tuna weza .Adi mda huu ccm ipo hoi !

Taabani
 
Attachments

  • 1441534497719.jpg
    1441534497719.jpg
    39.1 KB · Views: 812
sasa hivi wanahaha kupanga mbinu chafu zaidi ya zile za masaburi na dr.mihogo haaahaa maccm wana hali mbaya......hapa ni lowasa tu
hata magufuli atamoa kura lowasa
 
Wafuasi wa mafisiem bwana mna hasiira, sisi (UKAWA) hatuna papalapapala, hatukurupuki. Acha kujifanya una machungu saaaana, nenda huko kwa Mikufulu wenu!!

Nina wasiwasi wewe hupo eneo la mkutano. Hata kama utakuwa Igunga pengine ni mipakani unasubiri tu picha za watakaorusha wenzio na wewe udakie hapo. Kama kweli upo uwanja utakapofanyika mkutano umeshindwa hata kutuonyesha jukwaa lilivyo? Fanya hivyo kabla hujaumbuka zaidi.
 
Lowasa hatariiiiiii
Kamsababisha Mihogo akimbie Azam TV

Kukimbia yaisaidii kitu kwani jamaa wataitisha mkutano na media,slaa lazima akimbie nchi
 
Nina wasiwasi wewe hupo eneo la mkutano. Hata kama utakuwa Igunga pengine ni mipakani unasubiri tu picha za watakaorusha wenzio na wewe udakie hapo. Kama kweli upo uwanja utakapofanyika mkutano umeshindwa hata kutuonyesha jukwaa lilivyo? Fanya hivyo kabla hujaumbuka zaidi.
Ndugu elewa kuwa hapa nilipo natumia simu hivyo ku upload picha inakiwa ngumu, basi ili uwe na uhakika kuwa nipo eneo la tukio ebu ona angalau hiyo wakati maandalizi yakifanyika asubuhi ya leo

View attachment 284202
 
Back
Top Bottom