una roho ngumu sana !
Lowassa is our common friend just as CCM is our common enemy! Mvua inyeshe jua liwake mabadiliko ni lazima.
Pokea LIKE ✌🏿️Ccm mwaka huu wataifilisi hazina kwa kuhonga akina Slaa na genge lake, tv karibu zote isipokuwa itv na azam tv naona hizo nyingine zinakazana kupinga mabadiliko. Lakini nawakumbusha kuwa, ktk vita Siku zote Mungu yupo upande wa haki. Tumechoka kuibiwa, tumechoka kuwa watumwa ktk ardhi yetu yenye kila aina ya utajiri. Bye bye ccm
mimi sijui ila mke wa mgombea wa upande mwingine sijawahi mwona,hata siku ile jangwani alisahau kumtambulisha
Ajuaye Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama! What shall separate us from the love of God? is it SICKNESS? NO!CCM is our common ENEMY.
Rais ajaye wa tz ni Makufuli huyo wa mbwembwe ni laisi wa monduli yani magogoni atapasikia tu mpaka atakufa bika kufikamo ccm oyeeeeee
Duh, huyo aliyedondoka si ni lowassa? Lowasa anaumwa haswa...
Rostam Azizi leo atageuka kivutio
Rais ajaye wa tz ni Makufuli huyo wa mbwembwe ni laisi wa monduli yani magogoni atapasikia tu mpaka atakufa bika kufikamo ccm oyeeeeee
Umenena mkuu. Sisi jimbo la ubungo kampeni za masaburi hatuendi. Kampeni alikuwa na watu hamsini hawafiki. Tumemwambia Kubenea asitumie nguvu nyingi kampeni. Tunamfanyia sisi kampeni Nyumba kwa Nyumba. Tumeruhusu wananchi wapokee Hela ya fisadi masaburi kwa kuwa anarejesha alizoibia watanzania. Kichinjio October kinamsuburi Masaburi. Lowasa na Kubenea watosha.mabadiliko yanaongozwa na wannchi wenyewe sio viongozi ,ukitaka kuyazuia rudi kwa wanachi wenyewe viongozi hawatoweza
Kweeeeeeeeeli mkuuUkawa imebaki na vilaza maana vichwa vimeondoka SLAa na lipumba