Yanayojiri Kombe la Mapinduzi Zanzibar: Simba na Taifa Jang'ombe

Yanayojiri Kombe la Mapinduzi Zanzibar: Simba na Taifa Jang'ombe

Leo mabingwa watarajiwa Simba wanakata tiketi ya nusu fainali. Wale wasindikizaji wengine uwajuao wanacheza kesho.

Leo mende anaangusha kabati, mikia hatutawaona tena hapa jukwaani.
 
KUNA MABADILIKO MAKUBWA sIMBA WAMEONYESHA NA HASA KUCHEZA KIUSHINDANI ZAIDI, Yanga wamejiamini na kuanza kucheza kibinafsi.........sasa JKU wanacheza team work na wana stamina, Yanga wabadilike kdg mechi ijayo
No, mshindi kati ya Yanga na JKU atakutana na Azam au Mtibwa. Simba/Taifa Jang'ombe atakutana na KCCA/Polisi. Uwezekano wa Simba kukutana na Yanga ni fainali endapo Simba atakomaa hadi mwisho.
 
Leo mende anaangusha kabati, mikia hatutawaona tena hapa jukwaani.
ukweli ni kwamba Wazenji japo wamewakilishwa na timu nyingi za majeshi (KMKM, Polisi, Mafunzo) WANAONEKANA KUBADILIKA SANA KWA KUCHEZA KWA NGUVU (si kimdebwedo tena) na kuimarika kila mechi, so sishangai usemacho hapa.........ingawa simba nao wanaonekana kubadilika kwa kucheza kiushindani zaidi
 
No, mshindi kati ya Yanga na JKU atakutana na Azam au Mtibwa. Simba/Taifa Jang'ombe atakutana na KCCA/Polisi. Uwezekano wa Simba kukutana na Yanga ni fainali endapo Simba atakomaa hadi mwisho.
Simba huwa mnyonge sana kwa Azam/Mtibwa, so bado shughuli pevu hapo
 
KUNA MABADILIKO MAKUBWA sIMBA WAMEONYESHA NA HASA KUCHEZA KIUSHINDANI ZAIDI, Yanga wamejiamini na kuanza kucheza kibinafsi.........sasa JKU wanacheza team work na wana stamina, Yanga wabadilike kdg mechi ijayo

Isomers are compounds having the same chemical formula but different properties due to different orientations of atoms; that is what happened yesterday, you will see the heavy rainfall 2morrow.
 
Simba is my favorite...lakini kwa uchezaji ule wa juzi against JKU....sidhani kama watatoboa/ Mark this...but Gooooo go Simba!! Simba damu
 
rule of the thumb never applies to football

lazima uliangalie kipindi cha pili, stamina hamna mle
 
rule of the thumb never applies to football

That is Ho.

H1 is:
The rule of thumb always applies to football.

Collect data and test these hypotheses at 0.05 level of significance.

No research, no right to speak.
 
Watani shindeni leo ili mkutane na KccA,na sisi tutakuja kuwalipizia kisasi kwa hao Waganda.
 
Mkuu leo umenifurahisha sana. Nakuhakikishia nitakuwa wima kuhakikisha kuwa updates zinatiririka hapa JF bila upendeleo wowote ule.

Ninapitia JF rules nione kama naweza kumfikisha mahakamani mkuu mmoja mbele ya Mh. Invisible. Mimi nitakuwa JF Prosecutor, karani ni Kitoabu, mashahidi ni sembo, PrN-kazi, mkolaj na BBA, vielelezo ni posts alizopost mkuu huyo (jina kapuni) na matokeo halisi ya mechi ya leo.
Twasubiri kwa hamu namhala!
 
Last edited by a moderator:
Simba asikonde sisi tutampigia huyo Azam au Mtibwa, akomae tu na hivi vitimu ili tukutane.

Ila timu ambayo imetimia kuliko zote tukiacha ushabiki ni KCCA .Zingine zina kasoro zake ndogo ndogo!
 
Nimepata hii kuwa ndo first eleven ya leo:
1.Manyika P
2.H. Kessy
3. M H. Tsabalala
4.H Isihaka
5.J. Murshid
6.J. Mkude
7.R. Singano
8.S. Ndemla
9.E. Maguli
10.D Sserunkuma
11.MTANI JEMBE

Substitutes
D.Richard,N. Masoud, I. Rashid , I Twaha, I. Ajibu S. Kisiga S Sserunkuma, A. Banda na A Seseme
 
Kuna ugumu wa kupata mabao. Mshindi atapatikana kwa matuta: I presume.
 
Mungu imbariki simba,Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom