simuelewi maguri,
milango bado migumu sana
Ugumu uko wapi wakati timu yenyewe ni ya daraja la pili?
Ukiangalia mechi ilivyo ile probability yako kusema matuta kuna uwezekano?
Adui muombee njaa tu, Simba toboeni boti mzame, nusu fainali muiangalie mkiwa Dar.
...mambo yatabadilika muda si mrefu, na yatakuwa Chanya kwa upande wetu.Dakika ya 30: Simba 0-0 Taifa J.
...mambo yatabadilika muda si mrefu, na yatakuwa Chanya kwa upande wetu.
milango bado migumu sana
....kweli we Mnyama unamuogopa aisee.Adui muombee njaa tu, Simba toboeni boti mzame, nusu fainali muiangalie mkiwa Dar.
Hawa nao washazoea kutudissapoint, unaweza ukashangaa dakika ya 85, Taifa Jang'ombe wanapata goli.
bado nina Imani na Simba, hizo almanusura ni mbwembwe tu.Simba almanusura afe chali!