Yanayojiri Kombe la Mapinduzi Zanzibar: Simba na Taifa Jang'ombe

Yanayojiri Kombe la Mapinduzi Zanzibar: Simba na Taifa Jang'ombe

Makoye Matale utende haki kwenye updates maana una ushabiki mwingi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu leo umenifurahisha sana. Nakuhakikishia nitakuwa wima kuhakikisha kuwa updates zinatiririka hapa JF bila upendeleo wowote ule.

Ninapitia JF rules nione kama naweza kumfikisha mahakamani mkuu mmoja mbele ya Mh. Invisible. Mimi nitakuwa JF Prosecutor, karani ni Kitoabu, mashahidi ni sembo, PrN-kazi, mkolaj na BBA, vielelezo ni posts alizopost mkuu huyo (jina kapuni) na matokeo halisi ya mechi ya leo.

Mkuu najua mshitakiwa ni nani ila nakuhakikishia utaishia kuwithdraw mashitaka kama alivyofanya Fatou Bensouda kwa Kenyatta.
 
Last edited by a moderator:
nipo tayari kupokea matokeo
 
wachambuzi wa kibongo bhana
 
No, mshindi kati ya Yanga na JKU atakutana na Azam au Mtibwa. Simba/Taifa Jang'ombe atakutana na KCCA/Polisi. Uwezekano wa Simba kukutana na Yanga ni fainali endapo Simba atakomaa hadi mwisho.
Jana nilikuwa na wrong information, kwa hizi za leo fainali kumbe itakuwa kati ya Simba na Azam maana KCCA tutamnyonyoa kwenye nusu fainali.
 
kwa mujibu mda alioweka mleta mada nahisi ngoma ishaanza kudunda
 
Makoye Matale utende haki kwenye updates maana una ushabiki mwingi

Ni kweli nina ushabiki mwingi lakini hakuna siku sikutenda haki kwa kubana matokeo halisi hata kama timu yangu imefungwa.

Usihofu Mkuu. mpira utaanza punde.
 
Last edited by a moderator:
awadh juma anauandaa sana npira
 
Back
Top Bottom