Yanayojiri Kombe la Mapinduzi Zanzibar: Simba na Taifa Jang'ombe

Yanayojiri Kombe la Mapinduzi Zanzibar: Simba na Taifa Jang'ombe

second half watakiona cha mtema kuni.
 
Sserunkuma Jr and Ajibu are in for A Juma and Maguli respectively.
 
watz hatuna miili tu lakn Mohamed Hussein ni beki mzuri
 
watz hatuna miili tu lakn Mohamed Hussein ni beki mzuri
...kweli huyu dogo yuko poa, akirudi DSM itabidi tufanye mpango wa kumuwekea Bill ya Pizza pale Best Bite, ili awe anakula Pizza walau mara mbili kwa siku.
 
Kwa mbiiiiindeeeeee, ila nawaonea huruma sana mnakotaka kwenda. Mngejilipuwa tu leo.
Huko tunakoelekea tunakujua vizuri sana, ni sawa na mtu uko mtaani ndani ndani unataka ufike barabara kubwa ya lami hata hupotei.
 
...kweli huyu dogo yuko poa, akirudi DSM itabidi tufanye mpango wa kumuwekea Bill ya Pizza pale Best Bite, ili awe anakula Pizza walau mara mbili kwa siku.

Pizza tena! Huyu anastahili ugali wa mtama na kuku mzuma wa kienyeji kila asubuhi na usiku.
 
bado kamoja tu na timu inashambulia
 
Sorry ndo naingia jf, matokeo yakoje, ni dk ya ngapi ya kipindi kipi?
 
Back
Top Bottom