Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
bado sita
Magoli au dakika?
bado sita
yasemekana walilalamika tangu asbh kwamba wamecheza mfululizo sana
yasemekana walilalamika tangu asbh kwamba wamecheza mfululizo sana
Hivi vitimu vya zanzibar bwana hovyo kabisa, bora hata timu za mchangan za tanzania bara, ifikie kipindi timu zetu za tanzania bara zisikubal kushiriki hili kombe la helua helua,Simba 4-0 Taifa J.
Kisiga.
ilikua dk mkuu
Hivi vitimu vya zanzibar bwana hovyo kabisa, bora hata timu za mchangan za tanzania bara, ifikie kipindi timu zetu za tanzania bara zisikubal kushiriki hili kombe la helua helua,
Wamelegea sana.
mkuu kipindi mnashinda goli nne nne ulikua husemi yote haya... leo mnyama kaonyesha makucha kidogo mmeanza kutetemeka..Hivi vitimu vya zanzibar bwana hovyo kabisa, bora hata timu za mchangan za tanzania bara, ifikie kipindi timu zetu za tanzania bara zisikubal kushiriki hili kombe la helua helua,
Hivi vitimu vya zanzibar bwana hovyo kabisa, bora hata timu za mchangan za tanzania bara, ifikie kipindi timu zetu za tanzania bara zisikubal kushiriki hili kombe la helua helua,
Kama gari, gia namba moja, mbili na tatu inakuwa haijakolea sana ila gia namba nne na tano na yale magari mengine yenye high gear, sasa kwa mpangilio huo kuna hatari ya kukutana na nyie tukiwa kwenye high gear kitakachotokea lami ndo inajua.Simba 4-0 Taifa J.
Kisiga.
...shahidi mteule nipo.ile kesi nakumbushia jamani