GE2025 Kuhusu maandamano; "Bila mipango huwezi kufanikiwa"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
1,210
Reaction score
2,892
Kadri tarehe zilivyokuwa zinasogea kuelekea tarehe 29 watu wenye akili walishang'amua kuwa hakuna chochote serious kingeweza kufanyika kutishia usalama wa nchi kiasi cha kusema eti jeshi lichukue nchi

Kuweka malengo makubwa ni jambo zuri lakini malengo hayo yakiwekwa bila mipango inageuka kujifurahisha tu

Polisi kwa yale waliyoyafanya wiki mbili hizi ya kuzunguka na kuzungusha magari yao uraiani wamewapa ushindi wa bure wale waliotaka watu wasiende kupiga kura.

Ki ukweli kabisa hata asilimia 40% ya wapiga kura haiwezi kufika kama wasimamizi wakiamua kumuogopa Mungu na kuhesabu kura halali hata kama zote zitakuwa ni za mgombea mmoja

Polisi walichukulia serious sana swala la waliokuwa "wanabwabwaja" mitandaoni kuliko uhalisia wenyewe. Hii ni mbaya sana kutumia nguvu kubwa kuliko akili na maarifa

Ukiwasikiliza waliokuwa wanahamasisha maandamano huwezi kuona mikakati (strategies) yoyote waliyokuwa wamepanga kufanikisha adhima hiyo.

Kwanza kabisa walivamia hoja ya watu wengine ambao hawakujua mipango yao.

Hao "wabwabwajaji" wa mitandaoni walivamia hoja ya No reforms No election ya CHADEMA ambao huenda walishajiwekea mikakati yao mizuri ya kulifanikisha ambapo la kwanza ilikuwa "wao wenyewe kutoshiriki katika uchaguzi kwa namna yoyote ile"

Hili CHADEMA wamefanikiwa kwa asilimia zote kwani hakuna mgombea hata mmoja aliyesimamishwa au kusimama mwenyewe.

Pili ni kutumia mbinu wanazozijua kuwafanya idadi kubwa ya watu kutojitokeza kwenda kupiga kura ambapo hili nalo limefanikiwa kwa msaada wa Polisi kuzunguka mitaani na magari yao kwa hizi wiki mbili pamoja na hao waliokuwa wanasemasema kuhusu kuandamana.

Watu wamedandia hoja ya CHADEMA (kwa agenda zao wenyewe) na kuanza kuhamasisha vijana waandamane na kufanya vitendo viovu bila kuwapa mipango yoyote

Unawezaje kutoka nyumbani kwako unasema unaenda kuandamana na hujui unaandamana na nani, unaanzia wapi na kuishi wapi, na huko unakoenda unaenda kufanya nini na maandamano yanaanza saa ngapi?

Hawa watu walikuwa wamechagua siku nzuri sana kama kweli lengo lilikuwa kuzuia uchaguzi na nataka kuamini hata vyombo vya ulinzi na usalama pengine vilihisi hawa watu wako serious kuzuia uchaguzi na labda wana-mikakati kweli.

Watu wenye akili wangelenga sehemu moja tu; VITUO VYA KUPIGIA KURA! Maana huko ndiko uchaguzi unafanyika na kila mtaa una vituo kadhaa na kila mtaa una watu wa aina zote, walioko tayari kupiga kura na hao walioshawishiwa wazuie uchaguzi.

Kwanza kabisa wangeweza ku - mobilize viongozi wa hayo maandamano kwa siri kubwa sana kisha wakawapangia maeneo ya kwenda kuongoza. Hapa wangelenga mikoa michache na wilaya kadhaa ambazo wanaamini kabisa watu wao walihamasika. Huwezi ku-deal na nchi nzima kwa namna nchi yetu ilivyokubwa hii

Pili hao viongozi wangewaongoza watu wao kuvamia vituo vya kupigia kura na kufanya chochote wanachotaka kwa hizo karatasi na masunduku ya kupigia kura. Huu mpango ungefanikiwa kwasababu wangeweza hata kujifanya wapiga kura na kwa style hiyo wangepenya hadi ndani ya vituo na kufanya wanachokitaka wao

Tatu ni Muda, muda mzuri ulikuwa mchana mchana kuelekea jioni ambapo hakuna wapiga kura wengi na wasimamizi wengi vituoni wanalalala kwa njaa, usingizi na uchovu. Muda wa kuelekea kuhesabu kura zilizopigwa. Wanapora masanduku, wanachoma moto makaratasi!! Hapa wahesabu kura wangekosa cha kuhesabu na cha kutangaza.

Hii ingefanikiwa kwa angalau robo tu ya vituo vyote Tanzania, ingeweza kuwa ishara nzuri kwamba kuna watu wametumia akili kuzuia uchaguzi na kweli wamefanikiwa maana wangekosa kura za kutangaza

Sasa wanahamasishana kuchoma vituo vya mafuta na kuharibu miundombinu vinahusika nini na uchaguzi? Focus!

Sasa wewe unahamasisha maandamano halafu huwaambii watu wanaelekea wapi na wanafanya nini huko unategemea kufanikiwa kweli? Huu ni mzaha mzaha uliopitiliza pia ni kuwachokoza serikali. Ukiamua kufanya jambo, usilifanye nusu nusu, toka ulifanye kwa ukamilifu wake "...ukiamua kula chura chagua yule aliyenona..."

Sasa tukubaliane wote, kwasababu wamefeli wajisalimishe polisi wao wenyewe huko huko walipo hata kama ni nje ya nchi maana watasababisha watu wafe bure, wengine wabaki na vilema vya maisha na wengine wafungwe bila sababu.
 
Uzi mrefu umejaa ujinga mtupu.
 
Fact nakupongeza kwa hilo, tungetamani kufanikiwa but ni kama hakuna kiongozi wa protesters na mbaya zaidi ulilosema la msingi nmelipenda hakuna strategies
 
Tupo barabarani unapata wapi mda wa kuandika yote haya
 
Ac

Acha ufwala na ushenge, kutumalizia tu bando na space za seva za jf. Pumba zako peleka lumumba
 
Ukiwa na akili finyu utaandika huo uozo, lakini kwa mfumo ulivyo Tanzania, watu walikuwa hawategemei hata yaliyotokea leo. Leo tumegundua kuwa:
1. Maandamano ni rahisi sana, basi tu saikolojia ya watu wengi ilkuwa hakuna motisha
2. Kumbe JWTZ wako upande wa wananchi, ni kweli
3. Polisi wengi wamejitambua.

Hii ni breakthrough kubwa sanaaaa!!!!!!!
 
kuchoma vituo vya mafuta, mwendokasi, kuharibu miundombinu na maandamano ya kuzuia uchaguzi wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom