LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,504
EU inatajwa vema sana katika unabii japo kwenye yule mfalme mwenye nguvu haimo ila inatajwa kupitia miguu ya sanamu (Daniel 2:42) ambayo mfalme Nebukadreza aliota ambapo aliona jiwe ambalo alikuchongwa na kazi ya mikono ya mwanadamu likiigonga ile sanamu na kupasuka vipandex2.
Hapo ndipo hiyo EU ya uingereza inayojitoa inaposemwa, so charminglady upo njiani kwenye kutoa elimu muswano. Thanks
Wakristo ndio wanaanza kujiona kitabu chao ndicho cha kweli,vya dini zingine ni pile of shit....
Na ukristo wenyewe ni baada ya mzungu kupita africa na kuwaaminisha ndio dini sahihi....wasingepita kwa mfano?hiyo biblia ungeijulia wapi?na kutokuijua its your fault kwamba mwisho wa dunia utachomwa tu either way?
Waislamu nao vivyo hivyo...haya among 32,000 sects of christianity nani ni wa kweli?
Utasikia mi naamini biblia...kitabu chenyewe ni collection ya hadithi ambazo ni historically not factual,scientifically not making any sense,na vitabu kama Levitcus do not make any sense whatsoever to a sane human being...imeandikwa na binadamu kama wewe mwenye IQ na akili ya kibinadamu km mimi na wewe,madhaifu ya kibinadamu yamo chungu nzima,nikiamini 100% kiaje kwa mfano?Haiwezekani.