Yanayojiri EU na Unabii wa Sanamu ya Nebukadneza

EU inatajwa vema sana katika unabii japo kwenye yule mfalme mwenye nguvu haimo ila inatajwa kupitia miguu ya sanamu (Daniel 2:42) ambayo mfalme Nebukadreza aliota ambapo aliona jiwe ambalo alikuchongwa na kazi ya mikono ya mwanadamu likiigonga ile sanamu na kupasuka vipandex2.

Hapo ndipo hiyo EU ya uingereza inayojitoa inaposemwa, so charminglady upo njiani kwenye kutoa elimu muswano. Thanks

Wakristo ndio wanaanza kujiona kitabu chao ndicho cha kweli,vya dini zingine ni pile of shit....

Na ukristo wenyewe ni baada ya mzungu kupita africa na kuwaaminisha ndio dini sahihi....wasingepita kwa mfano?hiyo biblia ungeijulia wapi?na kutokuijua its your fault kwamba mwisho wa dunia utachomwa tu either way?

Waislamu nao vivyo hivyo...haya among 32,000 sects of christianity nani ni wa kweli?

Utasikia mi naamini biblia...kitabu chenyewe ni collection ya hadithi ambazo ni historically not factual,scientifically not making any sense,na vitabu kama Levitcus do not make any sense whatsoever to a sane human being...imeandikwa na binadamu kama wewe mwenye IQ na akili ya kibinadamu km mimi na wewe,madhaifu ya kibinadamu yamo chungu nzima,nikiamini 100% kiaje kwa mfano?Haiwezekani.
 
Nenda tena kakae chini ujifunze maana ya UK halafu uje hapa.

Shwain wewe

Ukitaja UK umetaja scotland, northen ireland, wales na iyo nchi Unayoiita UK, bila kujua?? Na ndomana kwa sasa wenyewe wanaita 'BREXIT' na sio eti UK kujitoa. hata hapo nimekupa jibu la iyo nchi iliyojitoa sio UK. matatizo ya kukariri na kukaa vijiwenn kujifanya unajua.
 
Wakristo ndio wanaanza kujiona kitabu chao ndicho cha kweli,vya dini zingine ni pile of shit....

Na ukristo wenyewe ni baada ya mzungu kupita africa na kuwaaminisha ndio dini sahihi....wasingepita kwa mfano?hiyo biblia ungeijulia wapi?na kutokuijua its your fault kwamba mwisho wa dunia utachomwa tu either way?

Waislamu nao vivyo hivyo...haya among 32,000 sects of christianity nani ni wa kweli?

Utasikia mi naamini biblia...kitabu chenyewe ni collection ya hadithi ambazo ni historically not factual,scientifically not making any sense,na vitabu kama Levitcus do not make any sense whatsoever to a sane human being...imeandikwa na binadamu kama wewe mwenye IQ na akili ya kibinadamu km mimi na wewe,madhaifu ya kibinadamu yamo chungu nzima,nikiamini 100% kiaje kwa mfano?Haiwezekani.

Huna hoja kaka jipange tena. Unaandika uku nafsi yako inaujua ukweli. Historically not factual??? Thibitisha basi hpo ulipopaona sio factual ili nami nijifunze. Biblia ni kila kitu bro THE FATHER of all books you know, TENA ni HOLliness in itself, haijawahi kudanganya. Na hakuna mtu atakayeweza kuchakachua BIBLIA.
 
Bado sijakuelewa akili yako inawaza nini ili nikujibu, mwanangu

Aisee mzee una akili ndogo sana....unaendeshwa na mihemko ya dini ya kikristo,huna jingine...nani kakwambia dini ya kikristo ndio bora au sahihi zaidi ya dini zingine?Mamlaka hayo umepatia wapi?Nani kakwambia biblia ni factual?Historically na scientifically?Hivi unajua biblia ilijengwaje au umejisomea tu?

Una IQ ndogo tu,heri ungeuchukua mjadala kwa rational reasoning sio unakurupuka kwasababu una mapenzi na ukristo...shida ndio hiyo.

Ukiambiwa kuna dini zaidi ya 32,000 za dhehebu hayo hayo ya kikristo na kila mmoja anajiona ni bora zaidi ya mwingine,utaelewa kweli?Na kuna various versions za bible na kila mmoja ana-claim ndio sahihi..

Niambie nikutajie vitu vya kufikirika kwenye biblia ambavyo sio factual kabisa kisayansi na kihistoria ni stori watu wa medieval times walijitungia tu....writtings zingine tu za longer zaidi ya biblia 3,200BC zina evidence na biblia ya 3AD hapo juzi tu hakuna evidence pamoja na research zoote dunia inayoendelea kuzifanya

Weka religious feelings pembeni kwanza for a minute and be rational wewe mtu
 
A kheri weye mwenye IQ kubwa, na umeshindwa hata kumjua Mungu wa kweli. Mungu akusaidie sana siko tayari kubishana ma wewe mwenye IQ Kubwa mana yangu ni ndogo ila imenisaidia kumjua Mungu mtakatifu aliye hai. Ila ukweli utabaki pale pale huna nguvu ya kupinga neno la Mungu ambalo ni biblia, huwez hata siku moja. Ata nafsi yako inalijua ilo.
 
Hivi unajua dhima ya vitabu hivi vyenye masimulizi ya ki-epokaliptiki....?? Unajua chimbuko lake..? Au unabwabwaja tu hapa...
Sasa badala ya wewe kuelezea hayo unayojua kuhusu APOCALYPTIC books unabwabwaja!

Haya ndo madhara ya KUKARIRI "Theology" & kuacha kutafuta "REVELATION."
 
Hahahahaha...Ufunuo upi angali vitabu vile viliandikwa vikiwalenga watu wa kundi fulani, wa nyakati zile na eneo maalum....Na havikuandikwa ati kuja kutumiwa na tabiri potofu za kina Ellena za nyakati hizi..
 
Utabiri wa marekani na utawala wake umejaa kwenye ndoto ya mnyama atakaetawala dunia miaka elfu moja
 
Wakristo ndio wanaanza kujiona kitabu chao ndicho cha kweli,vya dini zingine ni pile of shit....

Na ukristo wenyewe ni baada ya mzungu kupita africa na kuwaaminisha ndio dini sahihi....wasingepita kwa mfano?hiyo biblia ungeijulia wapi?na kutokuijua its your fault kwamba mwisho wa dunia utachomwa tu either way?

Waislamu nao vivyo hivyo...haya among 32,000 sects of christianity nani ni wa kweli?

Utasikia mi naamini biblia...kitabu chenyewe ni collection ya hadithi ambazo ni historically not factual,scientifically not making any sense,na vitabu kama Levitcus do not make any sense whatsoever to a sane human being...imeandikwa na binadamu kama wewe mwenye IQ na akili ya kibinadamu km mimi na wewe,madhaifu ya kibinadamu yamo chungu nzima,nikiamini 100% kiaje kwa mfano?Haiwezekani.
Mkuu nakubaliana na mantiki yako ila kasoro yake ni hii: Ujuzi lazima upite mikononi mwa mwingine. Unataka kusema tusitumie ndege au gari kwa kuwa kabla mzungu hajaja hatukuwa na vitu hivyo? Nadhani tulipewa akili na uwezo wa kutambua mambo fulani ya maisha tusiyaache tu kwa vile yanatoka kwingine.
 
A kheri weye mwenye IQ kubwa, na umeshindwa hata kumjua Mungu wa kweli. Mungu akusaidie sana siko tayari kubishana ma wewe mwenye IQ Kubwa mana yangu ni ndogo ila imenisaidia kumjua Mungu mtakatifu aliye hai. Ila ukweli utabaki pale pale huna nguvu ya kupinga neno la Mungu ambalo ni biblia, huwez hata siku moja. Ata nafsi yako inalijua ilo.

Mkuu unafeli sana...ukristo wako usikufanye ukajiona upo sahihi kiivyo...madai yako unaona mkristo ndio anamjua mungu wa kweli wengine wote ng'ombe tu....hahahaa,unaona athari ya dini,ni hiyo ya kujiona wwe ndio upo sahihi zaidi ya dini ingine..

Dini zote zipo ego-centric,ubinafsi wa ajabu...unaweza ua mtu sababu tu anapingana na wewe kuhusu huyo mungu wako wa biblia....ndio maana nakusisitiza,ukitaka kua objective tuweke unazi wa dini pembeni tuongee kama human beings...otherwise unaona huyo mungu wako wa biblia ndio mkweli while ukidharau wanadamu wengine wa dini zingine,how mypic you are!

Wakoloni wa kizungu wasingekuletea biblia ungeijulia wapi?Ungezaliwa China au Russia au India hiyo biblia ungeijulia wapi?

Dini ni yako,kaa nayo na usidharau wanadamu wengine,utaleta fujo duniani sababu ya dini yako which afterall ni non-sensical altogether!
 
Back
Top Bottom