Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

Nasikia bunge limeahirishwa tena jioni hii ni kweli? anayejua atujuze
 
Big up Tundu Lisu, kanuni ilivunjwa mara moja tu kumtanguliza Warioba na imetu'cost' kiaina, kanuni zisifunjwe tena, aslani! Vinginevyo damu imwagike
Kutenda kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa
 
kwa bunge hili kupata katiba ya wananchi ni kazi sana
 
Haya yanayoendelea Bungeni yanasikitisha sana kwa kweli, nashindwa kuamini kama huyu ndiye Sitta tuliyekuwa tukimfahamu.
 
Wemewafany watu mapimbi sasa waendelee na mipango yao!
 
Haya yanayoendelea Bungeni yanasikitisha sana kwa kweli, nashindwa kuamini kama huyu ndiye Sitta tuliyekuwa tukimfahamu.

Chui ni Chui tu,
Hata akivaa Ngozi ya Kondoo akaingia zizini bado tabaki kua Chui tu!!
 
Hili bunge limekuwa kama ngumi za enzi zile bondia Mike Tyson akiwa kwenye chati kwa kuwa linanyika kwa dakika tano linaahirishwa. Nimewahi kutoka kazini niangalie bunge nafika namuona 6 anaairisha bunge
 
Sitta nafikiri kuna kitu anakionyesha. Nafikiri, nikimwangalia, anaonyesha wazi kuwa kuna force/pressure behind him. Nafikiri anachokifanya ni kuwaonyesha ccm kuwa wanachokitaka hakiwezekani. Kwa hiyo huku kuahirisha bunge kila mara ni kuonyesha ama Rais avunje bunge au wamwache afanye kazi yake kiweledi. Mfano mzuri ni ni hata aliowapa nafasi ya kuongea! Hili bunge halitaishi, soon linavunjika!
 
Kikao cha leo kimeanza saa 10.00 na kuahirishwa saa 10.35. Baadhi ya wajumbe wamgomea Mwenyekiti kwa tuhuma za kuvunja kanuni

Kwa hali kama hii jamani naendelea kushauri kuliko kuvunja kanuni kwa makusudi kwa masilah ya ccm na sio wananchi nashauri tena mchakato ufe fedha hizo zinakazi nyingi ya kufanya na sitta amebaki katika vitabu vya watu wanafiki ambao hawajahi kutokea toka tumepata uhuru wa nchi hii.
 
Nimemuona mpaka Mzee Kificho anatikisa kisa...hivi Werema ana elimu gani? Serikali yetu haina mwanasheria.
 
Katiba itapatikana , tatizo kuna mazingira yanatengenezwa ili watu waichukie ccm , wanatumia kanuni zilezile na uhuru wa kuongea kusema chochote ionekane ccm wanahidhi katiba, na hili jambo mwenyekiti ameliona kwa kina sana na atapambana nalo na nia yake na matarajio yake ni kupatikana kwa katiba mpya, michezo ya siasa anaijuwa na mambo yenye tija na hila anayajuwa baraabara. Mwisho wa suku mbaya na mzuri atajulikana tuu.
 
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
sita.jpg

[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Bunge Maalum la Katiba Limekutana Jioni Hii kuendelea na Shuguli zake Lakini Mvutano Mkubwa Umejitokeza Hali iliyosababisha Vurugu Iliyoambatana na Kuzomea Zomea,Mvutano Huo Uliibuka Pale Mjumbe Mh Tundu Lissu [FONT=Georgia, Times New Roman, serif] Aliposimama kuomba Muongozo Kuhusu Marekebisho ya Kanuni Ambayo [/FONT]Tundu Lissu [FONT=Georgia, Times New Roman, serif]anamtuhumu Mwenyekiti wa Bunge Mh [/FONT]Samweli Sitta[FONT=Georgia, Times New Roman, serif] Kupitia Kamati ya Uongozi kuleta Marekebisho Ya Mabadiliko ya [/FONT]Kanuni Kinyume cha Kanuni zilizopitishwa na Bunge Hilo la Katiba Wakati wakijadili na Kupitisha Kanuni za Bunge Hilo.
[/FONT]
 
Mimi nilishamkataa Sitta mda mrefu,nikashangaa UKAWA wanamuunga mkono!bora wasiwe wanaenda bungeni watumiane matangazo katika WhatsApp
 
Sitta nafikiri kuna kitu anakionyesha. Nafikiri, nikimwangalia, anaonyesha wazi kuwa kuna force/pressure behind him. Nafikiri anachokifanya ni kuwaonyesha ccm kuwa wanachokitaka hakiwezekani. Kwa hiyo huku kuahirisha bunge kila mara ni kuonyesha ama Rais avunje bunge au wamwache afanye kazi yake kiweledi. Mfano mzuri ni ni hata aliowapa nafasi ya kuongea! Hili bunge halitaishi, soon linavunjika!
U r right
 
Back
Top Bottom