Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

Hakika mkuu. Huyu Devota wakati wenzake wanaapa alikuwa kwao Songea ambako alienda kutokana na kufiwa na baba yake mzazi

Asante kwa taarifa, kama binadamu mwenzangu nasema pole kwa wafiwa na Mwenyezi Mungu awajalie moyo wa uvumilivu ktk kipindi chote cha kumkumbuka marehemu.
 
Sasa taarifa ya Mwenyekiti inatolewa. Anasema kuwa Kamati ya kanuni haikumaliza kazi ya jana. Hii ni kutokana kuwa kamati ya uongozi ilichukua muda mrefu kukamilisha kazi yake. Hivyo ameitaka kanuni kukutana baada ya kuahirishwa kikao asubuhi hii
 
haah,haah,naona Sitta anakwepesha JK kuchambuliwa,duuh watu wazima wanaaibika
 
Viapo vimemalizika na Sitta anatoa matangazo.

Tangazo la kwanza ni kua kamati ya kanuni haijamaliza kazi na itaendelea baada ya kikao hiki cha asubuhi.

Tangazo la pili ni kua hakutakua na mjadala wa zile hotuba mbili yaani ya jk na ile ya mzee Warioba.
 
Mwenyekiti anasema kuwa kwa mujibu wa taarifa aliyotoa woki iliyopita, alisema kuwa kwa siku ya leo wangeweza kujadili hotuba ya JK na ya Warioba. Hata hivyo amesema kuwa hiyo ingekuwa ni sawa na kutanguliza mjadala. Pia inapingana na kanuni za bunge hilo ambazo zinasema kuwa bunge litajadili vifungu viwili vya kanuni. Kwa vile wabunge wasingeweza kuzuiliwa ya kuongea, sasa ametangaza kusitisha mjadala huo.

Bunge kimeahirishwa mpaka leo saa kumi jioni

Basi wadau tuungane hapo saa kumi jioni
 
Duuh,haaah mbona CCM waoga namna hii,visingizio kibao.naona Mnyaa anawaka
 
Leo ndo tutajua unafiki wa "ukawa"
 
Sasa shughuli za bunge zimesitishwa hadi hapo saa kumi jioni.

Wajumbe wameomba muongozo na imekataliwa hadi jioni watakapokutana tena.

Ni hayo tu kwa uchache niliyoweza kuyapata toka bungeni.
Asanteni na kwaherini.
 
Bunge limeanza saa 3 kamili limeisha saa 3na dakika 10! Mpaka tena jioni...! Eti wanaenda kumalizia kazi ya kamati ya uongozi, jana siku nzima hawakumaliza.... Nadhani kuna njama.

Huyu mwenyekiti ameanza kuboa sana... Heri ya Kificho kuliko huyu mnafki 6
 
Bunge lakaa dk 8 tu hakika katiba mpya ipo mfukuni mwa maccm wanujua watchukua muda mfupi tu kuipitisha kinyume na hapo ni ndoto
 
Mwenyekiti anasema kuwa kwa mujibu wa taarifa aliyotoa woki iliyopita, alisema kuwa kwa siku ya leo wangeweza kujadili hotuba ya JK na ya Warioba. Hata hivyo amesema kuwa hiyo ingekuwa ni sawa na kutanguliza mjadala. Pia inapingana na kanuni za bunge hilo ambazo zinasema kuwa bunge litajadili vifungu viwili vya kanuni. Kwa vile wabunge wasingeweza kuzuiliwa ya kuongea, sasa ametangaza kusitisha mjadala huo.

Unajua ili kuweka FACTS na kumbukumbu sawa, ilipasa hotuba zote zijadiliwe. Kwa kuwa watoa hotuba wote ni binadam, mapungufu yangeonekana na kuachwa na mazuri yangechukuliwa.
 
Huyu mwenyekiti niliwaambia hafai watu wakasena ana viwango wapinzani wakampigia debe tena kwa kuongozwa na tundu lisu et jk anaongea yy anampa maneno sio kujipendekeza huko jamaaa kawa jeuri pigeni kura ya kutokuwa na imani mumtoe mapema
 
Sitta si mtu ni mnafiki mno... rejea kauli ya Dr slaa dhidi ya sitta
 
Yaani wameamka asubuhi asubuhi huko walikolala, wanaingia humu ndani wanakaa dk 10 bunge linahirishwa. Ok, kamati ya kanuni inaenda kuendelea na kazi ambaya haikumalizika hapo jana, hao wajumbe waengine wanaenda kulala au watakuwa wanafanya nini hadi hiyo saa kumi jioni?

Bunge kimeahirishwa mpaka leo saa kumi jioni
 
Huyu mwenyekiti niliwaambia hafai watu wakasena ana viwango wapinzani wakampigia debe tena kwa kuongozwa na tundu lisu et jk anaongea yy anampa maneno sio kujipendekeza huko jamaaa kawa jeuri pigeni kura ya kutokuwa na imani mumtoe mapema
ana kauli chafu sana msukule huyu wa lumumba
 
Bunge limeanza saa 3 kamili limeisha saa 3na dakika 10! Mpaka tena jioni...! Eti wanaenda kumalizia kazi ya kamati ya uongozi, jana siku nzima hawakumaliza.... Nadhani kuna njama.

Huyu mwenyekiti ameanza kuboa sana... Heri ya Kificho kuliko huyu mnafki 6

Ili jimaaa si lilisema eti 'kwa kasi na kwa viwango' kama kuna mtu nimemchukia siku chache hizi basi ni ili lijamaa la urambo mashariki.
 
Back
Top Bottom