Huyu mwenyekiti niliwaambia hafai watu wakasena ana viwango wapinzani wakampigia debe tena kwa kuongozwa na tundu lisu et jk anaongea yy anampa maneno sio kujipendekeza huko jamaaa kawa jeuri pigeni kura ya kutokuwa na imani mumtoe mapema
kwa jinsi inavyoonekana huyu six anaendeshwa na watu maalum walio nje ya bunge hili maalum.... na hiki cha leo ndicho walichomuelekeza afanye. bt tatizo linaahirishwa kwa muda tu, lipo palepaleHili Bunge linnonekana kuwa litavunjika ndio maana Sitta anatafuta kuvuta siku ili posho iingie haiwezekani watu wanakutana na kuhairisha inamaana hakuna mambo mengine ya kufanya?
Wabunge wengi wamekusanyika nje ya ukumbi wa Bunge wakitafakari mambo mbalimbali. Kundi la Tanzania Kwanza litakuwa na kikao Leo saa tano asubuhi
Suluhisho ni wajumbe wasio wa CCM- wajumbe wenye nia kweli ya Katiba ya wananchi ni kususia bunge na kurudi nyumbani.
Sidhani kama bunge litafanikiwa kukamilisha kazi yake ndani ya muda huo ulioweka kisheriaZimebaki siku 43 za kujadili rasimu ya katiba,sheria imeweka mpaka wa siku za kujadili kwahiyo zikiisha,zoezi litaahirishwa hadi mwaka 2020.
Tarizo ni kwamba, wanasiasa wameuteka mchakato wa katiba mpyaKumbukeni jamani tunaandika katiba hapa, haraka ya nn? Maana hata wakipewa muda humo ndani hakuna wanachoongea zaidi ya kuoneshana ubabe tuu, mwingine nae hata hajui kafata nn hapo baada ya kuteuliwa kajitoa kisa wajumbe wengi wa ccm amesahau hata chama chake cha cuf pamoja na kuwa na nguvu zanzibar hawakupewa nafasi ya waziri kivuri na cdm kwenye bunge la jamhuri. Cjwahi kuona upinzani dhiafu katika nchi hii ambapo mbinu wanayotumia kila cku ni nguvu badala ya hoja. katika siasa hoja yeyote hupita baada ya kuungwa mkono na wengi leo iweje wahoji uhalali wa ccm kuwa wengi.
Kwani umesikia kuwa Six anataka kugombea Urais?Huyu Six kama alitarajia kugombea Urais kwa ku upgrade CV yake kwenye hili bunge, sorry namhurumia, amejimaliza arudi Urambo akalale!!
Wala sio kibabu ni kiajuza kanafikiria kujenga ofisi ya mwenyekiti wa bunge la katiba huko urambo kama alivyojenga ofisi ya spika haka kaajuza kanafiki sana kama ajuza FaizaFoxyLol huyu babu Sitta apumuzike huu mziki ni mzito kwake...eti babu wa viwango, viwango vya kuhairisha bunge kila siku? Bora Lowassa achukue usukani... Kibabu hiki nilikidharau tangu wakati wa CCJ,kinafiki hakuna mfano.