LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,466
- 820
Mkuu, soma tena jina lake. Amebadili jina. Anaitwa MUSSA ALLAN na si MSALANI
umeombwa utoe msaada?? Mbona unakiherehere hivyo?? Hata kama ndio tabia mlizo fuzwa na ccm lakini mnatia aibu.
Mkuu, soma tena jina lake. Amebadili jina. Anaitwa MUSSA ALLAN na si MSALANI
Hivi kwa nini kila anapochangia Lema anainama na kushikilia meza? Halafu haangalii mtu yeyote? Anaona aibu gani? Na kuinama kwake kunamkumbusha nini?
huu ndo mwaka wao wa mwisho majambawazi wote wa CCM. LAZIMA TUWAINAMISHEjambazi mkuu hapa nchini ni ccm
Wabunge wanaendelea kuchangia taarifa za Kamati za Hesabu za Serikali PAC na LAAC zinazoonesha ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma
Lema: Haiwezekani kila siku tukija humu tunazungumzia wizi tu, inatakiwa tuzungumzie mipango ya maendeleo ya wananchi sio kila siku wizi wizi wizi unaosababishwa na CCM.
Lema: Kama ningeweza kupendekeza pia kwenye Amri Kumi za Mungu, ningependekeza iongezwe amri ya 11 inayosema 'USIWE CCM'
Lema: Katika mazingira kama haya, nathubutu kusema 'My Country is like a Getho' mambo hayaendeshwi kwa utaratibu kabisa
Lissu: "Kinachotufikisha hapa ni Rais kushindwa kutimiza wajibu wake wa kikatiba wa kuwawajibisha watendaji wake"
Lissu: "Tunachotakiwa kufanya hapa ni kuanza na hawa mawaziri tulionao humu ndani, tukubaliane kuwawajibisha"
![]()
Hivi kwa nini kila anapochangia Lema anainama na kushikilia meza? Halafu haangalii mtu yeyote? Anaona aibu gani? Na kuinama kwake kunamkumbusha nini?
huu ndo mwaka wao wa mwisho majambawazi wote wa CCM. LAZIMA TUWAINAMISHE
Tangu Lema aanze kuchangia sijawahi kumuona wala kusikia mahala lema amechangia kitu cha maana hata siku moja.
Time will tell - Natumaini hayo matokeo yakishawekwa mezani utabadlisha na hiyo Avatar kama ulivyobadilisha Jina! Msalimie MSALANI!Huyu ana stress za kuukosa ubunge october 2015.
Asamehewe tu.
Hizo dakika za LEMA kuchangia hapo bungeni zimepotea bure, hakuna cha maana alichoongea zaidi ya mipasho na data za kupikwa! Arusha hatuna Mbunge tunasubiri october.
kama wewe ulivoanza kujiuza ukiwa chekechea
Mtoto Si Riski,umesahau Aliwahi Kumbania Saut Lusinde,we Unafkili Alikua Anataka Nini?