Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa, January 30

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa, January 30

Hizo dakika za LEMA kuchangia hapo bungeni zimepotea bure, hakuna cha maana alichoongea zaidi ya mipasho na data za kupikwa! Arusha hatuna Mbunge tunasubiri october.
 
MSALANI ,LIZABONI .FAIZA FOXY,SIMIYU YETU... hawa ni janga humu JF kiuhalisia hawakustahili kabisa kushiriki thread iwayo yote humu ndani. hawa alishaacha kutumia bongo zao. sasa wanatumia makalio na tumbo kufikiria. na ndo maana wenye akili wamewalisha maneno nao wanakuja jf kukariri kma kasuku. hawajawah kuwa na akili hawa watu. huwa wanaongea vitu vya wash room kabisa. ni msalani msalani kweli.
 
Kama mungu ni mshirika wa mzee mtei hapo sawa kwanza lema mwenyewe ni mharifu namba moja halafu anataja jina lamungu la nini haoni aibu yeye mwenzake ni shetani.

= Mhalifu

Ma CCM ... ni majinga majinga tu.
 
Mbona huyu jamaa wa TEMBO kakaa kimya, wakati LEMA kamlipua.
 
Huyu ana stress za kuukosa ubunge october 2015.

Asamehewe tu.

Ninavyojua mtabiri maarufu sheikh yahaya ameshafariki kumbe alikuachia mikoba ya utabiri,hongera vipi hiki kijichama kinaitwa chadema hakijafa tu kama mlivyotabiri?
 
Ninavyojua mtabiri maarufu sheikh yahaya ameshafariki kumbe alikuachia mikoba ya utabiri,hongera vipi hiki kijichama kinaitwa chadema hakijafa tu kama mlivyotabiri?
Kilishakufa sasa kuna UKAWA.
 
Nondo za Kamanda Lema Bungeni leo, "Kila mtu anawaza Urais, nchi imekuwa kama Ghetto... Kama Mungu angeongeza amri ya kumi na moja, basi angesema Usiwe CCM."
Ova
 
MSALANI ,LIZABONI .FAIZA FOXY,SIMIYU YETU... hawa ni janga humu JF kiuhalisia hawakustahili kabisa kushiriki thread iwayo yote humu ndani. hawa alishaacha kutumia bongo zao. sasa wanatumia makalio na tumbo kufikiria. na ndo maana wenye akili wamewalisha maneno nao wanakuja jf kukariri kma kasuku. hawajawah kuwa na akili hawa watu. huwa wanaongea vitu vya wash room kabisa. ni msalani msalani kweli.

Achana nao hao.......siamini kama huwaga wanatumia akili waliyopewa na Mwnyez Mungu.....kwanza watu wnyew hata kumi hawafiki kati ya maelfu tuliomo humu!!!
...achana nao mkuu kuna cku watajitambua tuzid tu kuwaombea!!!!
 
Amri ya kumi na moja; KAMWE USIWE MWANA CCM. Hii nimeipenda, kwa vile amri za MUNGU binadamu hatakiwi aziingilie kuzichakachua, basi hii iwe nadhiri ya nyongeza katika amri hizo kuwa " naapa kuwa kamwe sitakuwa mwana ccm"
 
Lema ametia aibu sana naona bange aliyovuta leo hakutoa mbegu, Wana Arusha tunasubiri Machinga Comlex na Hospitali ya mama na mtoto, yeye anazungumzia habari za aunty ezekiel na getto Lema aage kabisa bungeni harudi tena.
 
Hivi kwa nini kila anapochangia Lema anainama na kushikilia meza? Halafu haangalii mtu yeyote? Anaona aibu gani? Na kuinama kwake kunamkumbusha nini?

Yaani anajisikia vibaya sana kuwaangalia WANAFIKI, wanaoshabikia nchi kuliwa na wachache.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Maaana kila kiongozi anafanya yake ndio maana watu wanapigwa hovyo kila uchao kwa maelekezo ya viongozi wa getho
 
Hivi kwa nini kila anapochangia Lema anainama na kushikilia meza? Halafu haangalii mtu yeyote? Anaona aibu gani? Na kuinama kwake kunamkumbusha nini?
Huwa umewahi kujiuliza baba yako mzazi anavyo jamba jamba kunasababishwa na nini? Fanya utafiti
 
Lema ametia aibu sana naona bange aliyovuta leo hakutoa mbegu, Wana Arusha tunasubiri Machinga Comlex na Hospitali ya mama na mtoto, yeye anazungumzia habari za aunty ezekiel na getto Lema aage kabisa bungeni harudi tena.
Lema anavuta bangi kuwazidi Ridhiwani Kikwete na William Malecela?
 
Mkuu unamjua mtu anayeongoza kwa wizi wa magari pale arusha tafuta majibu ukipata hutampongeza tena Lema.

je unamjua shoga anaengoza kwa kujiuza pale tandale fuatilia utagundua na kijitu flani kinaitwa SIMIYU YETU
 
Back
Top Bottom