Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Tangu Lema aanze kuchangia sijawahi kumuona wala kusikia mahala lema amechangia kitu cha maana hata siku moja.
Familia yenu ndiyo geto make hakuna mkubwa wala mdogo kulala wote sehemu moja kama watoto wa mbuzi.Jambazi mamayako............... mbona usiwaseme wezi wanaokwapua fedha zetu bila huruma?
Kikwete ameiharibu nchi hii imekuwa kama Gheto!
Kama mungu ni mshirika wa mzee mtei hapo sawa kwanza lema mwenyewe ni mharifu namba moja halafu anataja jina lamungu la nini haoni aibu yeye mwenzake ni shetani.lema kasema Mungu akisema aongeze amri nyingine katika zile amri zake kumi
_amri ya 11 itakuwa usiwe mwana ccm
Mashiko yepi sasa.Upinzani ni chachu kubwa kwa maendeleo ya Tanzania ukitaka kujua hoja zao nyingi bungeni zinamashiko
Mkuu unamjua mtu anayeongoza kwa wizi wa magari pale arusha tafuta majibu ukipata hutampongeza tena Lema.Akichangia bungeni leo Mh lema ameifananisha Tanzania na gheto ( nyumba ya wasela ) , maana haina utaratibu wowote katika uendeshaji wake , ameuliza ni lini bunge litaacha kujadili wizi ili lijikite kwenye majadiliano ya kujenga nchi , kiukweli Mh Lema amenihuzunisha sana baada ya kufichua kwamba kiwanda cha GENERAL TYRE kimekwama kufufuliwa baada ya serikali kukosa hela ya Tanzania ( waweza sema hela ya madafu ) kiasi cha mil 20 tu ! Leo Mh Lema ameongea kikamanda sana ! Hongereni wana ARUSHA hamkufanya makosa kumchagua
Sure mkuu ujue huyu mtu alianza kuvuta akiwa mdogo sana kwahiyo kichwa chote kilishachafuka na bangi.hiv ili LICHICHI watu wana muda wa kujadili upuuzi wake,tatizo lake anaanza kuvuta kabla ya kuchangia.
Mkuu unamjua mtu anayeongoza kwa wizi wa magari pale arusha tafuta majibu ukipata hutampongeza tena Lema.
Pia amemlaumu waziri wa utalii kwenda nje ya nchi kutangaza utalii huku akiambatana na Aunt Ezekiel , bado sijaelewa kwenye hili Mh Lema alilenga nini , maana utalii lazima utangazwe .Lema amekulia geto baada ya kutelekezwa na wazazi wake kwahiyo anadhani kila kitu ni sawa na geto alilokulia.
Hivi kwa nini kila anapochangia Lema anainama na kushikilia meza? Halafu haangalii mtu yeyote? Anaona aibu gani? Na kuinama kwake kunamkumbusha nini?
Tangu Lema aanze kuchangia sijawahi kumuona wala kusikia mahala lema amechangia kitu cha maana hata siku moja.
Kama mungu ni mshirika wa mzee mtei hapo sawa kwanza lema mwenyewe ni mharifu namba moja halafu anataja jina lamungu la nini haoni aibu yeye mwenzake ni shetani.