Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

Spika anatoa dk 3.Tundu anakataa na Spika analazimika kuongeza dk kuwa 10. Lisu anatema cheche sio mchezo.
 
Viongozi wote wa Siasa wa UKAWA, hakuna asiekuwa na makovu, Wananchi wameuawa, Mwangosi et wameuawa na Jeshi la Police! Jeshi limeshikwa na Fascist elements ... Waziri Mkuu alisema wananchi wapigwe tu ... Number za Magari ya Police (PT) PIGA TU!!! ... Anamtaka Chikawe awajibishwe, Pinda awajibishwe ...
 
Eh! Kumbe zile gari za polisi namba zake za PT kirefu chake ni Piga Tuu, lissu bhana!!
 
Tundulisu leo amesema magali ya polisi yameandikwa PT heti ni Piga Tu.
 
Makinda anacheza makidamakida eti mjadala dakika 3.Kamanda Lissu kagoma na akadai kanuni inataka dakika 15 kwa kila mchangiaji ndipo spika kwa kelemewa akakubali dakika kumi. Kinachonisikitisha ni huyu mwansheria wa serikali kutetea uozo eti mjadala usijadiliwe kwa sababu ya kesi mahakamani. Mbona mijadala imeendelea licha ya kesi kuwepo mahakamani?
 
kumbe Namba za Polis PT kirefu chake ni Piga Tu hahahaha lisu kiboko
 
Serikali ilijipanga kuwafunga goli la kisigino
 
Anaendelea kuwatetea wahalifu wakiongozwa na Lipumba
 
hoja hiyo inaendelea kujadiliwa hivi sasa na tundu lissuu linaongea na kushauri kuwa iundwe tume maalum kuchunguza tukio hilo. anasema wakuu wa wilaya waondolewe kwenye kamati za ulinzi na usalama za wilaya.
anaipongeza serikali kwa kuhakikisha amani inaendelea kuwepo hapa nchini na kuondoa uonevu.

anakuja habibu mnyaa na anasema kuwa cuf ilitoa taarifa kwa polisi tr 22 na sio 26 na hata hivyo taarifa hiyo ilijibiwa kuwa maandamano hayo yasifanyike.

mnyaa anahimiza kuheshimiwa makubaliano ya muafaka wa kitaifa zanzibar ambayo yalizaa serikali ya umoja wa kitaifa na cuf kuwa sehemu ya serikali....anasema hakuna ugaidi hapa nchini
 
Back
Top Bottom