Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

Ccm hawajaelewa mada kabisa,Lipumba hakuandamana, alikuwa akiahirisha maandamano, kulikuwa na haja gani ya Polisi kutumia nguvu zote zile?
 
Hivi kibajaji mnamwelewa? Anachanganya kunde,maharage na nyama. Halafu eti wanampigia makofi mantarahamwe. Hovyo!
 
Lusinde Livingistone, Mbunge ccm - Jimbo la mtera.

Analisifu jeshi la polisi jana limempiga mhusika mkuu, tena limempiga kidogo.

Anaongelea lesen na marekan - nje ya hoja

Anaongea wanasiasa kufukuza watovu wa nidham- nje ya hoja

Yakitokea maandamano, polisi wasipige wadogo, wapige wakubwa ákina lipumba, mbowe, lisu'

Mropokaji mzuri na mbwembwe nyingi lakini nikama kichaa flani asiejitambuwa.
 
Watu wa mtera wanajisikiaje kuwa na mbunge kama Lusinde.


Hapa tu ndipo huwa nashangaa uumbaji Wa Mungu. Yaani namtafakarigi Lusinde nabaki nacheka tu maana hata yeye hajielewi.

Sijui wapigakura wake wakoje kichwani Kama walimchagua Lusunde Kama chaguo bora kuliko Malecela....
 
Back
Top Bottom