Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,707
- 4,578
...Makinda' anambebele Lisu! Eti..., "Mh. TunduLISU mwanangu...!"
Kuna watu wanakerwa sana na hii amani na utulivu, dhamira yao ni kuona nchi haitawaliki inaingia kwenye machafuko ili wao wapate madaraka, lakini wanasahau hiki kiburi na jeuri wanachowafundisha wananchi kitawarudi hata hao cuf wenyewe na chadema. Mifano ya nchi kuwa unrest sababu ya wanasiasa ipo mingi sana, Misri,Libya na kwingineko. Lipumba alitakiwa kutii amri na kubaki kwake.