Uzoefu unaonesha kuwa mara zote mikutano ya chadema huwa na amani na usalama,ila tatizo hutokea wanapoingiliwa na polisi au vikundi vingine.mfano tumeuona Arusha,ndago nk.kuna mbunge amezungumza leo asubuhi kwamba ccm wasipojirekebisha watakuja kuiingiza nchi ktk mauaji makubwa kwa upumbavu wa watu wasiojiheshimu kama mwigulu.Hivi hakuna wazee wenye busara ktk chama kukemea unyama huu.mko wapi kina warioba,Salim,Butiku,Mangula,Sumayi.Hivi hamuoni nchi inapoelekea? Mmewaacha hawa vijana wakiangamize chama na taifa kwa ujumla.uhasama na visasi wa vijana hawa umefika pabaya sasa nina wasiwasi huenda sasa na ikulu inahusika.kuna haja gani kuleta askari kutoka makao makuu,waliopo singida hawafai au ndio visasi?.mbunge mmoja aliyejeruhiwa kwa mapanga,leo ameeleza bungeni kuwa hajawahi kuitwa polisi kuhojiwa juu ya mkasa huo kweli inasikitisha.kuna minong'ono hapa mwanza kuwa kama mbunge wa nyamagana angekuwa mmoja wa waliojeruhiwa na mapanga,hakika mwanza yote ingezizima na huo moto hakuna ambaye angeweza kuuzima.