There are currently 331 users browsing this thread. (87 members and 244 guests)
Katibu wa CDM ndago na wauaji wenzake 11
Walinitaka nitoe maelezo kuhusu njama za baadhi ya wanausalama kuniua.Nimekataa! Kwa kuwa si sehemu ya ombi lao kwa Katibu wa bunge kunitaka nije Singida. Na hivi sasa, umeme umekatika hapa Kituo cha Polisi
John John MNYIKA,
Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CHADEMA),
18 Julai, 2012
kweli mwingulu nime kukubali wewe jiko la laana yani unashindwa kusema na vijana wako wamekamatwa!
Angalia unavyoteseka kujisafisha!
Wewe kila unapo kanyaga watu lazima wafe!
Lakini nakusifu kwa ujasiri wako wakuendelea kukana kuhusika na kutunga sms eti umetishiwa kifo!
mungu yupi atakayesimama na wauaji?
mnyika haogopi mtu.. Ukweli na haki vitasimama daima.. Mnyika songa mbele but take care!
Itakuwa anauzoefu mkubwa na matokeo ya kutisha kama kuondoa uhai wa binadamu kwa mawe.
Hata mtoto mdogo atakucheka kusema mwenye akili ndogo anakuongoza.
mbona wahalifu wanaotuhumiwa kuwateka na kuwajeruhi wabunge wa mwanza hawajaguswa na miongoni mwao wamo bungeni.au wahalifu wako upande mmoja tu.mbona igunga aliuwawa kada wa chadema na hatukuona wahalifu wakikamatwa matokeo yake wabunge wa chadema kukamatwa kama wahalifu baada ya kumkamata mkuu wa wilaya akifanya uhalifuNchi inatawalika tena vizuri sana, na wahalifu wanashughulikiwa ipasavyo.
Kuna mtu/watu ameambatana nao kwenda huko Singida kwenye 'mahojiano ya kawaida'? Kwa polisi wetu walipofika na viwango vya ujinga wanavyoonyesha tunaweza kuambiwa John ameanguka na kukata roho akiwa kwenye benchi akisubiri kuhojiwa. CDM chukueni tahadhari sana. Polisi na vyombo vya dola vya CCM sasa ni GESTAPO kama ile ya Adolf Hitler.
Akianguka litakuwa tangazo rasmi la vita!!