Yanayojiri baada ya MNYIKA (MB) kufika Polisi Singida!

Yanayojiri baada ya MNYIKA (MB) kufika Polisi Singida!

Itakuwa anauzoefu mkubwa na matokeo ya kutisha kama kuondoa uhai wa binadamu kwa mawe.

Yani ungejua unavyozidi kutujaza hasira, ungekaa kimya Mwigulu. Yani unaboa ile mbaya we mse.nge.
 
Kuua aue Mwigulu halafu polisi wa ccm wanamkamata Mnyika!! Hii dhuluma ndio itakayoipelekea nchi hii kutotawalika; ccm acheni siasa za majitaka!![/QUOTE\]

Hivi kweli siasa zimekuwa ukatili kiasi hiki? Mwigulu anaweza kuamua kumuua kijana wa watu mwana ccm mwenzake tena mradi tu apate kesi nzuri dhidi ya Chadema!! Ama kweli watu wengine wana roho za wanyama.
 
Kwa Tanzania bado sana.... Watu waoga sanaaa.

Mbona issue ya Madokta na Ulimboka hata maandamano hakuna?
Hata sasa hivi watu wanasubiri ignition tu, akitokea mtu wakuwatoa huo uoga basi ujue kunalipuka mara moja!!
 
Taarifa nilizozipata sasa zinaeleza kuwa kumekuwa na katikakatika ya umeme hapo Polisi Singida hivyo sasa mahijiano yanafanyika Gizani.
 
Wasije wakatkeleza azma yao waiipanga, Ajiangalie sana anapolala, apokula na kukunywa bila kusahau anaoshirikianano.
 
tupen update wakuu...inamaana bado wanamuhoji paka mida hii! na je upo na nani?
 
Nasema tunavyoelekea 2015 CCM wanaendelea kuona clearer kwamba wanatoweka kushika hatamu na hapa watakuwa wakatili siku zinavyoelekea 2015 ili kuwatisha wale wote wanaoipinga. Tutaona kesi za kubambikiza, ukatili dhidi ya upinzani nyingi zaidi kwa kadiri kasi ya kushindwa CCM kuongoza nchi inavyoongezeka
 
Mh!! Mpaka hapo nina wasiwasi sana wasije wakampoison kamanda wetu.
 
Update: Mnyika amemaliza kutoa maelezo yake Polisi yenye kurasa 12 pamoja na mambo mengine ameeleza haya
nanukuu;
"Nimesema wazi kuwa kabla ya mkutano nilipewa taarifa kuwa kuna kikundi cha vijana wa CCM kimepangwa kuvuruga mkutano, hata baada ya kuwaambia polisi wahakikishe ulinzi, polisi waliachia vijana hao warushe mawe wakati waitara akiongea. Baadae kukawa na utulivu na mkutano ukaendelea salama, nikahutubia na kumaliza salama polisi na FFU wakiwemo. Tukaenda kwenye mkutano wa pili ulioanza na kumalizika salama. Taarifa za mauaji tulizipata usiku baada ya kurejea Singida Mjini na zilitolewa na RPC. Hivyo mkutano wa CHADEMA uliomalizika kwa amani. Nimewaambia sikutoa lugha yoyote ya matusi wala uchochezi bali nilieneza sera na wananchi wakataka turudi tena na tukawaahidi kuwa tulinakwenda kwenye maandalizi ya Oparesheni sangara ya Singida nzima. Nimewaambia tuna tuna ushahidi wa video na tutautoa Mahakamani
 
Mapambano ndiyo kwaaanza yameanza, hapa ni mbele kwa mbele harudi mtu nyuma akirudi ujue amefia kwenye uwanja wa mapambano nchi hii piga ua lazima tumalize serikali hii ya wahuni
 
Back
Top Bottom