Yanayojiri baada ya MNYIKA (MB) kufika Polisi Singida!

Katika nchi za magharibi, ikiwa kutatokea kifo cha mtu yeyote wakati Polisi ndio wameshughulika na Ulinzi ktk mkutano halali ulopewa kibali basi kesi hufunguliwa kiongozi aliyekabidhiwa mamlaka ya kulinda maana mauaji yametokea chini ya ulinzi wake, lakini nashangaa sana kuona kwetu Tanzania wanakamatwa watu ambao walitakiwa kupewa ulinzi na wanajua wazi kwamba sii wao walioshiriki ktk mauaji..

Ikiwa Chadema waliufanya mkutano huu kinyume cha sheria, wakalazimisha mkutano kwa ulinzi wao dhidi ya matakwa ya sheria hapo ndipo tunaweza kuwalaumu lakini maadam walipewa ulinzi na bado mtu kauawa basi Polisi ndio wanatakiwa kujibu mashtaka haya.
 
Mungu yupi atakayesimama na wauaji?

wewe ndio muhusika mkuu na shangaa unaongea hayo maneno!

Ukiona umeshindwa unajitoa siyo kuwatoa muhanga watoto wawatu!

Mwingulu jaribu kumuogopa mungu kidogo!
 
Go Mnyika, go my leader! Cast these shameless and avaricious ****** to hell of shame. They can only fool some people sometimes but they will NEVER fool all the people all the times!
 
Updates:
"Polisi wamesema tuongeze muda wa kusubiri kwa kuwa gari la kikosi chao toka Dar es Salaam imepata tatizo. Tumewaeleza ikifika saa 11 jioni ama RPC aliyetuita atuhoji au turudi Dodoma hicho kikosi kilichokuja kitufate.

Nimepata hapa ushahidi wa nyaraka kuwa pamoja na vijana kikundi kidogo cha vijana wa CCM Ndago, Iramba waliofunguliwa jalada wakamatwe kwa kurusha mawe mkutanoni kuna vijana wengine toka Dar Es Salaam na maeneo mengine ya Singida ambao ni sehemu ya watuhumiwa na viongozi wa CCM wanahangaika kuwawekea dhamana. Taratibu ukweli unazidi kuibuka.

Kuna njama zilipangwa na baadhi ya viongozi wa serikali, polisi na CCM juu yangu. Nasubiri nikiona kama wana muelekeo wa kuzitekeleza wakati wa mahojiano na polisi nitaweka mambo hadharani hatua kwa hatua.

Maslahi ya Umma Kwanza"-John John Mnyika, Mbunge Jimbo la Ubungo (CHADEMA) 18.07.2012
 
Katika nchi za magharibi, ikiwa kutatokea kifo cha mtu yeyote wakati Polisi ndio wameshughulika na Ulinzi ktk mkutano halali ulopewa kibali basi kesi hufunguliwa kiongozi aliyekabidhiwa mamlaka ya kulinda maana mauaji yametokea chini ya ulinzi wake, lakini nashangaa sana kuona kwetu Tanzania wanakamatwa watu ambao walitakiwa kupewa ulinzi na wanajua wazi kwamba sii wao walioshiriki ktk mauaji..

Ikiwa Chadema waliufanya mkutano huu kinyume cha sheria, wakalazimisha mkutano kwa ulinzi wao dhidi ya matakwa ya sheria hapo ndipo tunaweza kuwalaumu lakini maadam walipewa ulinzi na bado mtu kauawa basi Polisi ndio wanatakiwa kujibu mashtaka haya.

Kwa hiyo mliamua kumuuwa kijana Yohana ili polisi wawajibishwe? Good strategy, kwenye mikutano yenu ya operesheni kambare waambieni wanasingida hivyo.
 
Mwito wa Polisi, Singida: Yanayojiri!

Nimefika Singida kuitikia mwito wa Polisi kutoa maelezo kuhusu mkutano nilioalikwa Iramba kwa nafasi yangu ya Mkurugenzi wa Habari na Uenezi.

Nimekutana na RPC, amesema kwamba nisubiri mpaka saa 10:30 alasiri ndiyo nikutane nao kwa kuwa kwa sasa kuna kikosi cha upelelezi toka Dar Es Salaam kimekwenda eneo la tukio. Nimemuuliza RPC maswali mawili;....


Kesi za kutungwa! Wamkamate aliyewatuma hao wahuni kurusha mawe ktk mikutano - yaani huyo Mbunge Mchemba!! Anyway, Walishakosea, wangemkabidhi Kova 'aigize' uongo mwingine...Polisi hawana la kukuhoji!

Ikiwakwama sio ajabu wapeleke Mahakamani kama jadi yao halafu wakataze isihojiwe maana ipo mahakamani kama wanavyozuga katika kila hujuma zao na failure yoyote pale Govt inayosutwa wakakosa immediate fikra!!

Nchi hii tunayo kazi...!
 
wewe ndio muhusika mkuu na shangaa unaongea hayo maneno!

Ukiona umeshindwa unajitoa siyo kuwatoa muhanga watoto wawatu!

Mwingulu jaribu kumuogopa mungu kidogo!

Kawasaidie wauaji wenzako kutafuta wanasheria wa nguvu maana this time wamekamatwa hadharani.
 
Kwa hiyo mliamua kumuuwa kijana Yohana ili polisi wawajibishwe? Good strategy, kwenye mikutano yenu ya operesheni kambare waambieni wanasingida hivyo.

Yani maneno yako tu yanaonesha maneno yako!
Unatamani chadema kifutwe maana operesheni imekushika hadi ukaona uwatume watu warushe mawe!
Inaelekea hutimizi wajibu wako kama mbunge kwa wanasingida!

Hiyo laana ya mauaji haitakuacha!
 
Ukweli utakuwa uchi na kila kitu kitakuwa wazi ili kila mwenye jicho ajionee. Hawa watuhumiwa kutoka Dsm ambao viongozi wa ccm wanahaha kuwa wekea dhamana wamepelekwa huko Singida na nani?
 
Updates:
"Polisi wamesema tuongeze muda wa kusubiri kwa kuwa gari la kikosi chao toka Dar es Salaam imepata tatizo. Tumewaeleza ikifika saa 11 jioni ama RPC aliyetuita atuhoji au turudi Dodoma hicho kikosi kilichokuja kitufate. Nimepata hapa ushahidi wa nyaraka kuwa pamoja na vijana kikundi kidogo cha vijana wa CCM Ndago,Iramba waliofunguliwa jalada wakamatwe kwa kurusha mawe mkutanoni kuna vijana wengine toka Dar Es Salaam na maeneo mengine ya Singida ambao ni sehemu ya watuhumiwa na viongozi wa CCM wanahangaika kuwawekea dhamana. Taratibu ukweli unazidi kuibuka. Kuna njama zilipangwa na baadhi ya viongozi wa serikali, polisi na CCM juu yangu. Nasubiri nikiona kama wana muelekeo wa kuzitekeleza wakati wa mahojiano na polisi nitaweka mambo hadharani hatua kwa hatua.

Maslahi ya Umma Kwanza"-John John Mnyika, Mbunge Jimbo la Ubungo (CHADEMA) 18.07.2012
Angalizo tu: Mhe. Mnyika umakini unahitajika wakati wa kurudi Dodoma jioni hii, hicho kikosi kazi kinachocheleweshwa hakijulikani kiko sehemu wapi maana hawa polisi hawajulikani ni muda upi wanasema ukweli.
 
Mmmmmmhh! Mwigulu, polisi, usalama wa taifa, serikali, mkuu wa kaya na safu yote ya mabwepande kumbukeni kuna maisha baada ya maisha haya! Damu mnayomwaga sasa inapiga kelele mbele za Mungu.

Hamkumsaidia kuumba lakini mnaangamiz viumbe wenzenu, kumbukeni ya sadam husein, osama bin laden na wengne wanaofanana nao wako wap?

Malipo yote ni hapahapa. Acheni kuua watu kwaajili ya uccm na uchadema!

Masikini tanzania na watanzania tutaponea wap?
 
Kwa hiyo mliamua kumuuwa kijana Yohana ili polisi wawajibishwe? Good strategy, kwenye mikutano yenu ya operesheni kambare waambieni wanasingida hivyo.
Kwa hiyo tuliamua Hivyo?... dah mbona walokamatwa ni wanaChadema hii sio Good strategy kuua nyie mkasema ni viongozi wa Chadema ambao kwanza walikuwa jukwaani. Hakuna polisi wala shahidi hata mtu mmoja anaweza kumweka kiongozi wa Chadema mahala pa mauaji lakini amekamatwa kama yule kichaa wetu wa Ulimboka!..
 
Pole sana kamanda na naomba uwe makini na hao jamaa mipango yao ni mibaya sana wako tayari kuua ili mradi watimize lengo lao sehemu ya hekima kwenye ubongo wao imeoza sio kijana wala mzee kama wasila au jk lao ni kulinda maslai na hata wale wanaofadika kwa kanga na sukari ambao hawajui kazi nzuri unayoifanya mh mnyika watazikwa wakiwa hai kama wasipobadilika leo.mungu akulinde na azidi kuwaumbua mafisadi tukianzia na filamu ya bwana kova na mdundiko wa mwigulu.
 
mwana siasa anapata nn kutoa roho iliyoumbwa na mungu????laana hii

Duh, nimesoma contributions zako toka kule juu, mpaka nimeshindwa kuamini kuwa hapa ni home of GT or the other way. TUHUMA, HUKUMU, humo humo ! kumbe kama ameua, mahojiano ya nini ? sijui kama unapata kuelewa what I really mean ? baada ya tuhuma, mahojiano, then kujua ukweli. How if ukifikia hitimisho leo kuwa kaua ukagundua mwisho wa safari kuwa hajaua ? utarudisha maneno yako nyuma ? Yeye kauliza tu ajue ameitwa kwaajili gani, nadhani ni sawa na ni haki ya msingi kuuliza. Labda ungesubiri mahojiano yaishe, kesi iendelee, then hukumu ya haki itolewe, ndipo unaweza kusema yote hayo. Ni maoni yangu tu !
 
Muuaji ni wwe na maganster wenzako tangulia kuzimu fisad mkubwa wewe

BURN KARUDI ANAULIZA HIVI "MUNGU YUPI ATASIMAMA NA WAUAJI" BURN HUYU SISI TUNAMJUA VEMA - napenda kukuhakikishia jembe letu wewe uliyeitwa na rpc ili baadaye uhojiwe usijali haya yana mwisho. USHAHIDI WA MWIGULU KATIKA SAKATA HILI UPO KWAMBA ALIHUSIKA KWA ASILIMIA 100 KWA KUWAPA WATU HELA YA KUTOSHA. NTAWEKA SAUTI BAADAYE YA MTU ALIYEKIRI WAZI KUPEWA HELA NA MHESHIMIWA TENA ILI ALETE FUJO KIOMBOI KATIKA MKUTANO LAKINI BAHATI MKUTANO HAUKUFANYIKA. TUNA USHAHIDI WA USALAMA WA TAIFA KUINGIA ENEO LA TUKIO USIKU WA MANANE WAKITAKA KULINASUA GARI LA MKODISHWAJI USIKU KWA USIKU ILI ASUBUHI WAPOTOSHE USHAHIDI LAKINI MBINU ZIKAGONGA MWAMBA USIKU KWA USIKU. USALAMA NA DREVA MKODISHWA WA GARI WAKARUDI KIOMBOI USIKU KWA USIKU KIMYA KIMYA LAKINI USIKU UNA MAMBO YOTE YAMELIKI. TUNA USHAHIDI WA MWIGULU KUFUNGULIA VIJANA AKAUNTI BENKI YA NMB KIOMBOI AKIWA ANA WAHADAAA KWAMBA WAJITEGEMEE LAKINI BAADAYE ANAWAOMBA WAFANYE FUJO NA WAVAE JEZI ZAKE MKUTANONI MWA CHADEMA. HILO TUNALIJUA FIKA. UZURI NI KWAMBA VIJANA 32 WALOFUNGULIWA AKAUNTI NA SIKU TATU KABLA YA MAUAJI MWIGULU ULIWAINGIZIA MILIONI MBILI NA NUSU ILI WAKUUNGE MKONO LAKINI HADI LEO FEDHA HIZO ZIMESHINDIKANA KUTOKA BENKI BAADA YA VIJANA KADHAA KUKATAA KUSAINI ZITOKE MAANA ZINALENGA KUNUFAISHA WATU WACHACHE MAJINA TUNAYOOO. UTAUA SANA LAKINI WACHACHE TUTABAKI KAMA SIO WENGI. MUDA SI MREFU WANA BODI WA JF NTAWAPOSTIA SAUTI ZA MMOJAWAPO WA WANAOSIMULIA MALENGO YA MWIGULU KWA VIJANA KUWAGEUZA WAWE GENGE LA KUVURUGA AMANI , VIJANA WENYEWE WAMEKIRI WAZI KWAMBA HAWATAKI KUUAWA NA KUACHA FAMILIA ZAO, ZENYE WATOTO WACHANGA. TUTASEMA NA HATUTACHOKA. BURN KARUDI NJOO UKANUSHE HILI KWANI NAKUFAHAMU VEMA NA LEO UKO NDAGO KINAFIKI UNALIA MACHOZI HUKU MOYONI UNACHEKA ( JUST KAMA HONDO HONDO VILE ATOA MACHOZI MKIA WATIKISIKA KWA FURAHA ) KARIBU USEME USIJICHIMBIE KWA WOGA MUUNGWANA MSAMAHA KUOMBA.
 
Mheshimiwa Mnyika anatafutwa kwa udi na uvumba tangu amtaje mkuu wa nchi kuwa ni dhaifu na wabunge wa ccm ni wazembe na Mwigulu alihusika kwenye EPA wanaitafuta roho yake kwa kila njia anatakiwa awe mwangalifu sana kwa anachokula,anachokunywa, akiendesha gari akiongea achague maneno, yaani kifupi awe makini kwa kila sekunde ya maisha yake yupo hatarini sana sana kuliko wakati wowote ule!
Kuna mtu/watu ameambatana nao kwenda huko Singida kwenye 'mahojiano ya kawaida'? Kwa polisi wetu walipofika na viwango vya ujinga wanavyoonyesha tunaweza kuambiwa John ameanguka na kukata roho akiwa kwenye benchi akisubiri kuhojiwa. CDM chukueni tahadhari sana. Polisi na vyombo vya dola vya CCM sasa ni GESTAPO kama ile ya Adolf Hitler.
 
Back
Top Bottom