Mbondijr
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 184
- 355
K
Kama Kenya ,nepal wameweza hatasisi tutaweza tu ni suala la mudaHaiwezi kutokea
Kama Kenya ,nepal wameweza hatasisi tutaweza tu ni suala la mudaHaiwezi kutokea
Kupiga mikwara nyuma ya keyboard ndo mtawezaK
Kama Kenya ,nepal wameweza hatasisi tutaweza tu ni suala la muda
Kwa maneno ya jirani zetu manyang'au!Tatizo unamtegea Mungu ambaye hayupo afanye kazi unayotakiwa kuifanya wewe ambaye upo.
Ndiyo maana unaona kwingine inawezekana na Tanzania ngumu.
Achana na huyo mzee, anajiona reason capacity thinking yake ni kubwa kumbe ni mtupu tu.Duuuh😀
Ila Kiranga una uhakika gani kwamba Mumgu hayupo?Tatizo unamtegea Mungu ambaye hayupo afanye kazi unayotakiwa kuifanya wewe ambaye upo.
Ndiyo maana unaona kwingine inawezekana na Tanzania ngumu.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Ila Kiranga una uhakika gani kwamba Mumgu hayupo?
Kenge kabisa, hao gen z wa Nepal walikaa kuomba Mungu kama wewe au walienda front? mtaonyeshewa sana dole la kati!Hii kitu inauma sana wapumbavu wachache wanakula keki ya taifa pekeyao alafu tukiongea wanasema hamieni Burundi kusema kwamba wanaofanya ni sahihi ,wanaona haitoshi watoto wao wanaturingishia midola mbaya kabisa na dole lakati,duu mungu ibariki Tanzania yanepal yatokee tz over. Mbondijr kwa sasa top camp mererani
Mwisho wao waja hakuna marefu yasio na nchaKenge kabisa, hao gen z wa Nepal walikaa kuomba Mungu kama wewe au walienda front? mtaonyeshewa sana dole la kati!
K
Kama Kenya ,nepal wameweza hatasisi tutaweza tu ni suala la muda
Malawi raia wake waoga kishenzi ila wakiamua hapatatosha maana wamalawi nawaelewaK
Kama Kenya ,nepal wameweza hatasisi tutaweza tu ni suala la muda
Wamalawi ukiwapa manati tu kimewaka maana wale jamaa upande ule si wanategemea marungu sasa kila mmalawi akiwa na manati kukawa na wamalawi at least 1,000 au 10,000 tu wenye manati sijui itaakuaje, ndio maana wanawahimiza kila mmalawi mwenye manati aisalimishe kuleKwa online Naona bado kdg tu watu waamue
Sikuelewa ule mchezo mkuuWamalawi ukiwapa manati tu kimewaka maana wale jamaa upande ule si wanategemea marungu sasa kila mmalawi akiwa na manati kukawa na wamalawi at least 1,000 au 10,000 tu wenye manati sijui itaakuaje, ndio maana wanawahimiza kila mmalawi mwenye manati aisalimishe kule
Manati zikiwa zimezagaazagaa ovyo ni hatari kwa security yao wao ndio maana inabidi wadhidhibiti ili zisizagae ovyo ovyo zikiangukia kwenye mikono ya maharamia sijui itakuaje watawapiga la machozi wakati wao wana la kung'ata na mdomo?Sikuelewa ule mchezo mkuu
Kumbe walishajua mbeleni huko nini kitatokea kwahyo wnapunguza manat kijanja