nepal

Nepal, officially the Federal Democratic Republic of Nepal, is a landlocked country in South Asia. It is mainly situated in the Himalayas, but also includes parts of the Indo-Gangetic Plain. It borders the Tibet Autonomous Region of China to the north, and India to the south, east, and west, while it is narrowly separated from Bangladesh by the Siliguri Corridor, and from Bhutan by the Indian state of Sikkim. Nepal has a diverse geography, including fertile plains, subalpine forested hills, and eight of the world's ten tallest mountains, including Mount Everest, the highest point on Earth. Kathmandu is the nation's capital and the largest city. Nepal is a multi-ethnic, multi-lingual, multi-religious and multi-cultural state, with Nepali as the official language.
The name "Nepal" is first recorded in texts from the Vedic period of the Indian subcontinent, the era in ancient Nepal when Hinduism was founded, the predominant religion of the country. In the middle of the first millennium BC, Gautama Buddha, the founder of Buddhism, was born in Lumbini in southern Nepal. Parts of northern Nepal were intertwined with the culture of Tibet. The centrally located Kathmandu Valley is intertwined with the culture of Indo-Aryans, and was the seat of the prosperous Newar confederacy known as Nepal Mandala. The Himalayan branch of the ancient Silk Road was dominated by the valley's traders. The cosmopolitan region developed distinct traditional art and architecture. By the 18th century, the Gorkha Kingdom achieved the unification of Nepal. The Shah dynasty established the Kingdom of Nepal and later formed an alliance with the British Empire, under its Rana dynasty of premiers. The country was never colonised but served as a buffer state between Imperial China and British India. Parliamentary democracy was introduced in 1951 but was twice suspended by Nepalese monarchs, in 1960 and 2005. The Nepalese Civil War in the 1990s and early 2000s resulted in the establishment of a secular republic in 2008, ending the world's last Hindu monarchy.
The Constitution of Nepal, adopted in 2015, affirms the country as a secular federal parliamentary republic divided into seven provinces. Nepal was admitted to the United Nations in 1955, and friendship treaties were signed with India in 1950 and China in 1960. Nepal hosts the permanent secretariat of the South Asian Association for Regional Cooperation (SAARC), of which it is a founding member. Nepal is also a member of the Non-Aligned Movement and the Bay of Bengal Initiative. The Nepalese Armed Forces are the fifth-largest in South Asia; and are notable for their Gurkha history, particularly during the world wars, and have been a significant contributor to United Nations peacekeeping operations.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania YA NEPAL, SAYANSI, MUNGU NA AKILI ZETU WAAFRIKA

    Hivi karibuni tumeshuhudia mafuriko ya Nepal yanayofahamika kama flash floods yalivyosomba makazi ya watu na kusababisha uharibifu wa mali, majumba, miundo mbinu na zaidi hasa maisha ya watu wengi kupotea. Katikati ya majanga haya, kuna jengo moja lilibaki likisimama peke yake, likistahimili...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Jengo Pekee Ambalo Halijasombwa na Mafuriko ya Nepal Limeonesha Umuhimu wa Ujenzi unaozingatia viwango na vigezo vya Kihandisi kwenye majengo ya Umma.

    Wataalamu wa uhanrdisi wa majengo wamefanya uchambuzi ni Kwa nini jengo Pekee la gorofa lilibakia limesimama bila kuangushwa na kusombwa na Mafuriko yenye Nguvu ya Nepal wakati majengo yote ya jirani yalioshwa. Jambo hili Limeonesha Umuhimu Kwa Serikali na watu binafsi kufuata vigezo na...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Miujiza Nepal; Sanamu ya Budha yabaki imesimama imara katikati ya Mafuriko makubwa!

    Ni tukio liliowashangaza wengi duniani Sanamu ya Budha kubaki imesimama imara wima katikati ya Mafuriko
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Takribani Watu 95 Wafariki, Mamia Wapotea baada ya mafuriko na maporomoko ya matope kutokea katika eneo la mpaka wa Nepal na Tibet

    Mchanganyiko wa picha za satelaiti umeonyesha ukubwa wa uharibifu uliosababishwa na mafuriko makubwa ya ghafla nchini Nepal. Takribani watu 95 wamefariki dunia, huku mamia ya wengine wakiripotiwa kutoweka baada ya mafuriko na maporomoko ya matope kutokea katika eneo la mpaka wa Nepal na Tibet...
  5. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Sababu za Kisaikolojia na Kimuundo Zinazofanya Maandamano Kama ya Kenya, Nepal au Madagascar Yasitokee kwa Tanzania.

    Utulivu wa kisiasa wa Tanzania, ukilinganishwa na nchi nyingine za Afrika na Asia ambazo zimepitia machafuko au mapinduzi ya umma, unatokana na misingi ya kihistoria na mshikamano wa kisaikolojia uliojengeka kwa muda mrefu. Ufuatayo ni uchambuzi wa sababu tano kuu za kisaikolojia na kimuundo...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiliba: Tumeshuhudia Nepal na Madagascar vijana wameiua nchi yao wenyewe

    Mwenyekiti wa Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Bw. Geofrey Kiliba amesisitiza umuhimu wa kila mmoja kuwajibika kulinda amani ya Tanzania, akitaka pia wale wote wenye maoni na hisia tofauti kutumia njia rafiki za kutaka mabadiliko badala ya maneno ya kichochezi na yenye kuhatarisha amani na...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 ni mwendo wa Nepal. Watachagua walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au barabara za kwenda Ofisi za CCM

    Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025 Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma. Enough is Enough Lazima turudishe...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wa Kipemba: Sisi hatuandamani Tanzania sio Nepal

    Lazima nicheke kwanza 🤣! Vijana wa Kipemba wenyewe wamesema hawana haja ya kuandamana, kwani hawajui hata sababu ya kufanya maandamano hayo — “eti mnataka tuandamane ili iweje sasa?” 😏 ================== Sisi hatuandamani Tanzania sio Nepal, Makuli mapya ya ghorofa yamejengwa na Mabarabara mapya...
  9. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Wasichojua watekaji. Kule Nepal walikuwa active kuliko huku nchi ya kusadikika. Kilipowaka walitokomea kusikojulikana

    Kuteka na kuua raia ndo final stage ya utawala kuanguka maana baada hakuna option inayobaki. Siku wananchi hawa mnaotuita makondoo wakichoka, hao watekaji hutowaona popote.
  10. Kangosha

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Nepal, je kutokea na Tanzania?

    Kwa wale tunaofuatilia habari za kimataifa tumeona jinsi raia wa Nepal hasa vijana walivyoiangusha Serikali Yao kutokana na ugumu wa maisha. Hali kama hio naiona ikija kutokea Tanzania. Nasemea hivi kwa sababu zifuatazo:- 1. Vijana wengi wanamaliza vyuo,shule za secondary na hata msingi ila...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa mpito Nepal Aahidi kutokomeza ufisadi

    Waziri Mkuu wa mpito nchini Nepal Sushila Karki ameapa kufuata matakwa ya waandamanaji ya kukomesha ufisadi nchini humo wakati alipokuwa anaanza kazi yake rasmi baada ya kushika wadhifa huo.. Sushila, Waziri mkuu wa kwanza mwanamke Nepal aliye na umri wa miaka 73, alichukua nafasi hiyo baada ya...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Vijana (Gen Z) Nchini Nepal – 2025

    Sababu za Maandamano Marufuku ya mitandao ya kijamii – Serikali ilizuia matumizi ya Facebook, Instagram, WhatsApp, YouTube n.k. kwa madai ya kiusalama. Vijana waliona hatua hiyo kama kukandamiza uhuru wa maoni. hii ni kwa mujibu wa ABP News. Ufisadi serikalini – Kulikuwa na madai ya ufisadi...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nepal avunja bunge, atangaza tarehe ya uchaguzi

    Rais wa Nepal, Ramchandra Poudel, amelivunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya utakaofanyika ifikapo Machi 5, 2026. Hatua hiyo imekuja baada ya wiki moja ya machafuko makubwa yaliyosababishwa na maandamano ya vijana. Uamuzi huo ulitangazwa jana Ijumaa, saa chache baada ya Rais Poudel kumteua na...
  14. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Masaki na Mbweni ya Nepal zikiungua

  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Gen Z Nepal, Rabi Lamichhane mfungwa wa ufisadi atolewa nje ya gereza na wengine 1,000, wafuasi wamtaka awe Kiongozi wa mpito

    Ni jambo la kushangaza kumuona nje ya gereza ilhali kesi ufisadi zinaendelea. Siyo suala la kumpenda au kumchukia mwanasiasa, bali ni kuhusu kuheshimu utawala wa sheria. Kama mtu ameshtakiwa, anapaswa kupitia mchakato mzima wa kisheria. Akiwa hana hatia, basi aachiliwe huru kwa heshima. Lakini...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Somo gumu na lililojaa maumivu kwa upande mmoja na furaha kwa upande mwingine kutoka Nepal

    Tunaweza kujifunza sasa tukiamua kabla hazijaja nyakati ngumu.. Nguvu ya uma ni nguvu ya ajabu mno Imewachukua vijana wa Nepal masaa 36, kupata uhuru wao kuondoa serikali isiyowajibika madarakani. Mwanzo polisi walitumia amri, mabomu, risasi na kuzima mitandao. Sasahivi waziri mkuu yuko...
  17. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Nepal Vs Gen Z wa Kenya; ina maana majeshi ya kiafrika ni imara au katili?

    Habari za usiku huu Sote tulishuhudia vile Gen Z wa Kenya walivyotikisa uongozi wa Kenya. Maandamano yao yalichukua muda mrefu na yalitapakaa sehemu nyingi kwao. Pamoja na kwa namna tofauti kupata sapoti ya dola ya Kenya, bado waliuawa na hawakuweza kumn'goa Rais. Nepal hapo tumeambiwa ni...
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania The Cleaning of the cities of Nepal by the Genz continues!

    This is commendable. Tomorrow when this country starts doing very well, some people will leave the bad politicians in their country to go and drag jobs with them and even take their jobs because they are desperate to work and can even take little amount to work as citizens won’t take those...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Waandamanaji Nepal wachoma ofisi za Media iliyokuwa inaunga mkono Serikali

    Ni wakati wa nchi na ulimwengu kwa vyombo vya habari kusimama kidogo na kutafakari wajibu wao katika kuripoti kwa uwazi na uwajibikaji. =================================== Waandamanaji walichoma moto jengo la chombo kikuu cha habari "Godi Media House" nchini Nepal lililopo Kathmandu...
Back
Top Bottom