Yanayoendelea Nepal, je kutokea na Tanzania?

Yanayoendelea Nepal, je kutokea na Tanzania?

Tatizo unamtegea Mungu ambaye hayupo afanye kazi unayotakiwa kuifanya wewe ambaye upo.

Ndiyo maana unaona kwingine inawezekana na Tanzania ngumu.
Kwa maneno ya jirani zetu manyang'au!
Kumbuka siye WADANGANYIKA! Ni rahisi sana sana kutughilibu!
 
Ulimi unaumba!

, Yawezekana bado kitambo kidogo!
 
Tatizo unamtegea Mungu ambaye hayupo afanye kazi unayotakiwa kuifanya wewe ambaye upo.

Ndiyo maana unaona kwingine inawezekana na Tanzania ngumu.
Ila Kiranga una uhakika gani kwamba Mumgu hayupo?
 
Hii kitu inauma sana wapumbavu wachache wanakula keki ya taifa pekeyao alafu tukiongea wanasema hamieni Burundi kusema kwamba wanaofanya ni sahihi ,wanaona haitoshi watoto wao wanaturingishia midola mbaya kabisa na dole lakati,duu mungu ibariki Tanzania yanepal yatokee tz over. Mbondijr kwa sasa top camp mererani
Kenge kabisa, hao gen z wa Nepal walikaa kuomba Mungu kama wewe au walienda front? mtaonyeshewa sana dole la kati!
 
acha kuwalinganisha wanepali na wabongo, uliwahisikia wanepali wanapenda makalio? mkuu sihangaike, wabongo bado sana.
 
Kwa online Naona bado kdg tu watu waamue
Wamalawi ukiwapa manati tu kimewaka maana wale jamaa upande ule si wanategemea marungu sasa kila mmalawi akiwa na manati kukawa na wamalawi at least 1,000 au 10,000 tu wenye manati sijui itaakuaje, ndio maana wanawahimiza kila mmalawi mwenye manati aisalimishe kule
 
Sikuelewa ule mchezo mkuu
Kumbe walishajua mbeleni huko nini kitatokea kwahyo wnapunguza manat kijanja
 
Sikuelewa ule mchezo mkuu
Kumbe walishajua mbeleni huko nini kitatokea kwahyo wnapunguza manat kijanja
Manati zikiwa zimezagaazagaa ovyo ni hatari kwa security yao wao ndio maana inabidi wadhidhibiti ili zisizagae ovyo ovyo zikiangukia kwenye mikono ya maharamia sijui itakuaje watawapiga la machozi wakati wao wana la kung'ata na mdomo?
 
Kwa ujinga tulionao hakuna kinachoweza kutokea.

Juzi nimeona engineer mmoja eti kajipiga risasi, kama uko tayari kufa kwanini ufe kiasara hasara?

Kwanini usikipe kifo chako maana, unataka kufa tayari, fanya jambo la mma ili tuliobaki tukukumbuke basi huko uendako.
 
Back
Top Bottom