Yanayo Jiri ustawi wa jamii live

Yanayo Jiri ustawi wa jamii live

nimefika leaders mda sio mrefu, yaani hapa napiga tathmini hili jukwaa ni bei gani, maana limeenda shule kinomanoma! Dah!

umefika leaders au ustawi, we nawe sasa umeshaanza kupoteza network!
 
nimefika leaders mda sio mrefu, yaani hapa napiga tathmini hili jukwaa ni bei gani, maana limeenda shule kinomanoma! Dah!

nahao mashoga zako wamepaka poda gani leo?
 
Sugu anapagawisha mbaya!naona watu wanazidi kumwagika. Baadhi wamebeba Bendera za CHADEMA,wengine wanapiga vidole viwili.Halafu karibu nusu ya waliofika wamebeba kitabu Cha Sugu.Hongera Sugu kwa kufanikiwa katika hili.

BIG UP!

we acha zako ka mshabiki wa barca chek mech yenu mda huu mnacheza na Getafe
Sugu kama kawa toka namjua nikiwa form 3 anafunika adi saiz so chek soka mkuu
Hala Madrid
Hala Maurinho
Hala the white
Hala Galacticos
La liga yetu msimu huu
 
huwezi kudanganya umma wa watz halafu ubaki salama milele, katu haiwezekani. Na badi tutampelekea DMX habari kuwa wamellitumia jina lake ktk biashara, then watajua kilichomtoa kanga manyoya ya shingo!
 
samahani kidogo ngoja tupate matangazo ya wadhamini(VINEGA) then tutarudi
 
mbona kimya wakuu, acheni ukatili, wengine tuko macho mida hii coz of antivirus, acheni hizo wakuu!
 
hala kwa madridista's woooote
adi saiz Getafe tuko mbele kwa 1
Galacticos 2 ukipenda waite iPad 2
La liga yetu Madridismo
Hala Maurinho na Sugu na harakat zake
 
huku barcelona 0 getafe 1
Mkuu kwa stili hii unakaribia kuitwa "kiriusi". Zinatakiwa update za Ustawi wa Jamii juu ya Mh.Mbilinyi a.k.a SUGU na show yake ya Antivirus hasa hili ndilo lengo la eng.Mtolera.
 
Back
Top Bottom