Yanayo Jiri ustawi wa jamii live

Yanayo Jiri ustawi wa jamii live

wakuu mbona tnafanyiana ukatili mbaya kiasi hicho. tumewakosea nini mpaka mmefikia hapo mmeamua kufaidi peke yenu ili hali mnajua kuna wengine tunawategemea ninyi kujua kinachoendelea ustawi wa jamii!!!!!!!!! Acheni hizo, leteni updates tafadhali nasi tuwe na usiku wa amani!
 
sugu naona yupo stejini, huyiu jamaa ni jembe, Mwamba, jiwe, bakora yaani anchapa cha cha cha cha! Yaani anakimbiza.............. Mchaka mchaka! Mchaka mchaka, chinja! Adi mselema hadija! Selema selema..... Hadija!
 
wakuu wakati unaendelea kupata updates za ustawi humu jf, fungueni na redio one, nako kuna makamuzi ya kufa mtu, zile za kitambo na Abubakari Sadiq, yaani hapa nilipo na double click kwa kwenda mbele. Hii redio naifagilia sana, haina mambo ya kishogashoga ya clouds. Jamaa wanakamua miziki ya wasanii wote...........tune radio one plz kwa mlio majumbani
 
oyaaaaaaaaaaaaa mechi imeshia madrid debby
hala madrid-the white-los melunges-galacticos
 
nimefika leaders mda sio mrefu, yaani hapa napiga tathmini hili jukwaa ni bei gani, maana limeenda shule kinomanoma! Dah!
 
wakuu wakati unaendelea kupata updates za ustawi humu jf, fungueni na redio one, nako kuna makamuzi ya kufa mtu, zile za kitambo na Abubakari Sadiq, yaani hapa nilipo na double click kwa kwenda mbele. Hii redio naifagilia sana, haina mambo ya kishogashoga ya clouds. Jamaa wanakamua miziki ya wasanii wote...........tune radio one plz kwa mlio majumbani

mkuu kweli sasa hivi namsikia Mh. Sugu na Stara "nipate tabu" alafu amepandishiwa Saigon du ebwana dah!!
 
oyaaaaaaaaaaaaa mechi imeshia madrid debby
hala madrid-the white-los melunges-galacticos

akili nyingine hata huwezi kuzielezea! kichaa sikichaa, wehu si wehu, basi tu ili mradi mcharuko tu!
 
Sugu anapagawisha mbaya!naona watu wanazidi kumwagika. Baadhi wamebeba Bendera za CHADEMA,wengine wanapiga vidole viwili.Halafu karibu nusu ya waliofika wamebeba kitabu Cha Sugu.Hongera Sugu kwa kufanikiwa katika hili.

BIG UP!
 
Back
Top Bottom