Bigjahman
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 900
- 512
Clouds fm wanarusha live kutoka leaders, gangwe mob ndo wanaimba ila wanakatisha nyimbo coz watu wamepoa na wanagoma kuitikia wanapoambiwa say yooo!
watangazaji wa clouds wanawahoji mashabiki waliokuja leaders na kumuuliza kila wanaomuhoji kuwa amekuja kwa ajili ya kuona show ya nani? kuna jamaa kaulizwa kaja kwa ajili ya msanii gani kajibu DMX, watangazaji wamemuambia kuwa DMX haji tena so aseme msanii wa bongo atayependa kumuona badala ya DMX kasema anamtaka DMX tuu, wamekatisha kumuhoji gafla.
Mshabiki mwingine wa hapo leaders club anaulizwa kaja kwa ajili ya msanii gani, kajibu amekuja kwa ajili ya DMX, watangazaji wanaomuhoji wamepotezea mahojiano juu kwa juu.
Dah Afande sele ni **** kuliko binadamu yeyote aliye hai apa dunia kwasasa