J Rated
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 269
- 52
Teh tehe jamaa hashindwiRuge nae kaja kwa sugu nimemwona kavaa kabarakashia watu wasimtambue.
Teh tehe jamaa hashindwiRuge nae kaja kwa sugu nimemwona kavaa kabarakashia watu wasimtambue.
endapo DMX hakuja, si wananchi wenye tiketi wana haki ya kudai kurudishiwa pesa zao??
Huo sio wizi kweli wa mchana kweupe??
nikisema magenge wewe sema mwenge. magenge..??ushindwe na ulegee wewe virus. wakuu nilitaman tuendelee wote lakini chrg imeisha tanesco sio. sasa hivi kapanda nuru heri. baba umetutoka tunakukumbuka. ushamsoma? mia
Dada yangu Regia, swali dogo tu. Madhumuni ya kusoma hicho kitabu ukiwa bungeni ulikuwa na dhamira ya kutoa quotes ndani ya hicho kitabu kwa shughuli za kibunge au ulikuwa unasoma tu kwa sababu kilikuvutia. Najaribu tu kupata uelewa, ni vipi ukisome bungeni wakati unatakiwa kuwa bize na shughuli zilizokupeleka ndani ya mjengo. Hicho kitabu kilikuwa na mchango gani kwenye miswada ilyosomwa kwenye session iliyopita?
I'm not trying to pick on you but am trying to comprehend what's going on in mjengoni.

mi nampenda sana mh. Regia jamani, for sure! Nisaidieni!
Vinega ndo vitu gani
Duh!! Kajilalie tu. Ndicho kilichowapeleka bungeni hiki
Nakuona mh wakatika magoma mbaya. That's good today weekend na prime time mia mkuu.Sogydogy ndo anatumbuza sasa hivi.Kapagawisha mbaya!
we mbona kenge sana, una matatizo gani au ndo mwendo wa kufikiri kwa masaburi?
Mbona unanitukana mkuu?? Nilikuwa namuuliza Mwita25 nashangaa unanishambulia.
yaishe jamani,ni lugha gongana hamkuelewana,ni kama mnajenga nyumba moja wote hamfahamu lakini mnagombania matofari
Mkuu ni wizi mkubwa tena wa wazi wazi wananchi sasa waelewe sio wapelekwe pelekwe.....its better wapenda muziki wafahamu wazi wazi.....alafu na wasanii wa kitz nao wagangamale na sio njaa ya laki 1 inawafanya wanakuwa watumwa....endapo DMX hakuja, si wananchi wenye tiketi wana haki ya kudai kurudishiwa pesa zao??
Huo sio wizi kweli wa mchana kweupe??
duh... mkuu wangu hapa uliteleza aisee, yani ina maana kama niko field basi 24/7 nifanye kazi za field tu? sina hata muda binafsi mazee??Dada yangu Regia, swali dogo tu. Madhumuni ya kusoma hicho kitabu ukiwa bungeni ulikuwa na dhamira ya kutoa quotes ndani ya hicho kitabu kwa shughuli za kibunge au ulikuwa unasoma tu kwa sababu kilikuvutia. Najaribu tu kupata uelewa, ni vipi ukisome bungeni wakati unatakiwa kuwa bize na shughuli zilizokupeleka ndani ya mjengo. Hicho kitabu kilikuwa na mchango gani kwenye miswada ilyosomwa kwenye session iliyopita?
I'm not trying to pick on you but am trying to comprehend what's going on in mjengoni.
sasa wapo wapi wale wanasheria wetu wanaotetea haki za vijana???Mkuu ni wizi mkubwa tena wa wazi wazi wananchi sasa waelewe sio wapelekwe pelekwe.....its better wapenda muziki wafahamu wazi wazi.....alafu na wasanii wa kitz nao wagangamale na sio njaa ya laki 1 inawafanya wanakuwa watumwa....
Viva sugu na vinega....