Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

Ndege ya ATCL angani ikipasua anga na mawingu kwa ajili ya Test Flight. Sasa ni tayari kwa safari ya kuja nyumbani.

Alama ya Twiga wetu inaenda kuruka na kutambaa katika milima na mabonde ya Tanzania. Tunarudi tena katika anga la Tanzania. Nia ya dhati iliyotumika kulifufua shirika hili, itumike pia kutuweka watanzania kama wamoja, kwa chuki na uhasama wa "kuminywa demokrasia", turudishwe na tuwe wamoja.

Tunaenda hatua kwa hatua,kwa ile kanuni yetu ya "JF be the first to know", welcome back home.

The Wings of the Kilimanjaro

View attachment 390071
Nawish tutumie mlima Kilimanjaro kama Nembo mpya ya ATCL.....ITASAIDIA PIA KUUTANGAZA MLIMA WETU.....Twiga anapatikana nchi nyingi Duniani lakini Mlima KILIMANJARO upo TANZANIA PEKEE....
Pia umuhimu wa kubadilisha upo katika Marketing....Re-branding huisha kampuni na kuipa emage mpya kwa wateja.....Nawasilisha.
 
Ndege ya ATCL angani ikipasua anga na mawingu kwa ajili ya Test Flight. Sasa ni tayari kwa safari ya kuja nyumbani.

Alama ya Twiga wetu inaenda kuruka na kutambaa katika milima na mabonde ya Tanzania. Tunarudi tena katika anga la Tanzania. Nia ya dhati iliyotumika kulifufua shirika hili, itumike pia kutuweka watanzania kama wamoja, kwa chuki na uhasama wa "kuminywa demokrasia", turudishwe na tuwe wamoja.

Tunaenda hatua kwa hatua,kwa ile kanuni yetu ya "JF be the first to know", welcome back home.

The Wings of the Kilimanjaro

View attachment 390071
moja sana together we can

Salute Dk JPM
 
Hiyo Ndege inashuka angalia flap zake. Inaonyesha kabisa inashuka. Testing huwa ni kupaaa na kushuka kwa kutach rami na kupaa kwa hata masaa 2. So landing gear huwa inakua on na off marakwa mara
 
Matajiri ndio waungane wawe wamoja...Usafiri wa ndege ni kwa ajili ya matajiri tu Masikini yao ni mabasi na malori
........ndio Dunia, ili wapanda malori wawe na adabu wanapo waona wapanda ndege !
 
Mimi hofu yangu ni muda wa safari kuwa mrefu hivyo kushindwa kushindana na Fastest katika same root na hivyo kukosa faida na kushindwa kukua kibiashara. Sio mikoa yote ina idadi kubwa ya wananchi wanaweza kumudu kupanda ndege. Jamaa waumize kichwa na kufanya restructuring ya shirika sasa
Unaweza to a mda wa darmwz
Darjro
Dartlq
Dartbt

Wa HII ndege tulinganishe NA unazosemea
 
Hiyo Ndege inashuka angalia flap zake. Inaonyesha kabisa inashuka. Testing huwa ni kupaaa na kushuka kwa kutach rami na kupaa kwa hata masaa 2. So landing gear huwa inakua on na off marakwa mara
Hahaaa mpwaa wanaopinganaa watakuuliza NA flap n nn kwikwi nchi haina mridhiko
 
Shikamoo barafu!
Inapendeza sana kama mtu anajadili mada kama hizi,awe na ABC ya usafiri wa anga na changamoto zake.
Fastjet tunaenda kukimbiza sana sana.Kwa sbb yeye anatumia ndege aina ya A319 inayobeba abiria 156.
Sisi tunaenda kuwa na Dash8-400 abiria 78.Safari ya Mwanza to Dsm,ATCL inatumia saa 1.20 hadi 25 wakati Fastjet anatumia saa 1.10 hadi 15.ATCL anatumia tani 1.2 kwa safari hiyo,wakati fastjet anatumia tani 3.1 za mafuta JET A1 kwenda Mwanza.

ATCL anatuwa viwanja vyote Tz vyenye lami na vile vya vumbi,wakati Fastjet anatuwa viwanja vitano tu Tz kwa maana ya Mwanza,KIA,Dsm,Znz na Mbeya.Huku ATCL akituwa Kigoma,Tbr,Mbeya,Lindi,Mtwara,Arusha,Iringa,Songea,Musoma,Dodoma,Mpanda nk

Ili fastjet atuwe na kuruka,Runway ya kiwanja inatakiwa iwe km 2.3 wakati ATCL anatuwa kwenye kiwanja chenye 1.2 km,ambavyo ndo viwanja vingi vilivyopo Tanzania.

Kwa kulitambua hili,Fastjet ameamua kuanza kuuza ndege zake zooote,ili anunue walau E190 aendane na ushindani wa soko.Kuepuka ghalama za mafuta na vipuri.

Sasa hapo ni nani anamtishia mwenzake?Muwe mnafanya utafiti kabla ya kutoa mchango
Nimelazimika ku_quote majibu yako kwa faida ya wengine ambao wanasoma michango ya member kuanzia mwisho. Asante barafu
 
Hakika inapendeza. Hongera JPM, hongera serikali ya awamu ya tano.

CrFvEG6WcAAQ6xb.jpg
 
Matajiri ndio waungane wawe wamoja...Usafiri wa ndege ni kwa ajili ya matajiri tu Masikini yao ni mabasi na malori

Mkuu usikate tamaa. Be optimistic. Huenda hatimaye laki ikatosha nauli (na kuwa pesa). Bila shaka wahusika wameshajiandaa kibiashara kikamilifu kudhibiti soko. Hapo Fastjet na Precision wajiandae kuachia soko au kujishusha zaidi kuwafikia masikini wengi. Keep watching the space.
 
image.jpeg
Hata nikiwa CCM ndo niwe mtu wa ndio mzee hata kama wanakwenda kinyumenyume?
Hii Fokker28 inatosha kwa Rais na viongozi wa Serikali.Tena ni Jet engines,furahia zaidi kwa sbb imepewa Reg# ya Chama Chako Pendwa.

Sisi huku tunataka Dash8-Q800.Tunaomba nyie wanasiasa mtuache sisi na mapanga boi yetu,kwetu ndio aina tunayoitaka ktk usafiri wa kibiashara.Airbus peleka CCM.....Huku kwetu ni mwendo wa mapangaboi a.k.a Turboprop
 
Khaaa what a shame TCL got only one flight and they put an effort to promote it minilidhani wataleta angalau tano kwa kuanzia sa moja tu nanyengine za kukodisha south Africa
 
Back
Top Bottom