C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,080
- 3,769
Mimi hofu yangu ni muda wa safari kuwa mrefu hivyo kushindwa kushindana na Fastest katika same root na hivyo kukosa faida na kushindwa kukua kibiashara. Sio mikoa yote ina idadi kubwa ya wananchi wanaweza kumudu kupanda ndege. Jamaa waumize kichwa na kufanya restructuring ya shirika sasa
kwa taarifa yako fast jet wanataka kuagiza na wao bombaider ili waendane na soko kwani wameshaona wamepigwa bao
ikumbukwe airbus hazitui maeneo korofi ambapo viwanja vyetu asilimia 80 ni viwanja korofi