Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

kawepo kaneno kilimanjaro basi kanakoonekana, sio mpk wenzetu waandike ndo tupige kelele.
lini tutatumia nembo ya haka kamlima??????????
 
Sikujua kama na mimi ni tajiri maana nazipanda sana hizo.
Nyie ndo wakushangilia mkuu! Sisi huku ambao ni asilimia zaidi kidogo ya 90 na ambao ndiyo wazalendo wa ukweli na ambao ndiyo wadau halisi wa "Hapa kazi tu" Bado tunasubiria shehena ya magwangala na Vichwa na miguu ya kuku na Sisi tusherehekee!! Sisi tufurahie mdege kwa lipi? Tunaonaga tu likipita juu,hatutarajii hata kugusa bodi lake tukiwa hai!! Labda kwa muujiza au Ndotoni,hongereni.
 
Hamna ubaya kwasababu nchi ni ya wote matajiri,masikini,wazee,vijana etc.
 
Ile ya Mtanzania mwenzetu imeweza kufunga matairi ikiwa Angani, ila ya ATCL imeshindwa........

Ni bora huyu dogo angepewa tenda ya kutengeneza ndege za ATCL.....

1472534015494.jpg
 
Kuwasha mwenge,kuwasha mwenge
Nakuuweka Kilimanjaro,

Umulike hata nje ya mipaka yetu
Ulete tumaini ,

Pale ambapo hapana matumaini
Upendo mahali ambapo pana chuki
Na heshima ambapo pamejaa dharau ......

Haya maneno hayatumiki tena?lakini mwenge bado upo,
Ubeti wa kwanza"mwenge wa UHURU,mwenge wa UMOJA,
Tumaini letu Afrika nzima,
Dah,now it's different
 
Tuna laana sisi haki ya nani..nchi ya watu 46m kandege kadg kuliko ka Floyd Mayweather, hivi ratio yake ikoje? Ili waTz wote tuonje siti iyo ni baadaya mda gani?
 
Ndege ya ATCL angani..Ikipasua anga na mawingu kwa ajili ya Test Flight.Sasa ni tayari kwa safari ya kuja nyumbani.

Alama ya Twiga wetu inaenda kuruka na kutambaa ktk milima na mabonde ya Tanzania.Tunarudi tena ktk anga la Tanzania.Nia ya dhati iliyotumika kulifufua shirika hili,itumike pia kutuweka Watanzania kama wamoja,kwa chuki na uhasama wa "kuminywa demokrasia",turudishwe na tuwe wamoja.

Tunaenda hatua kwa hatua,kwa ile kanuni yetu ya "JF be the first to know"...,Welcome back home
The Wings of the Kilimanjaro
View attachment 390071
Mbona inapaa bila kukunja tairi?
 
Kweli tunachechemea afu kuna watu wanajifariji tunabana matumizi..na hii nayo wanaweza sema inatua viwanja vyote TZ na ni ndege yenye ubora kulinganisha na ndege wanazotumia majirani zetu wa afrika mashariki na kati.
 
Back
Top Bottom