Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

Natumai bei ya nauli na ubora wa huduma utakua nafuu na wa juu kuliko Fas-tJeT vinginevyo hatutaelewana maana ni tuKODI twetu huto.
 
Wewe Kama unaona kuboresha vyoo sio muhimu basi hufikirii sawasawa. Kuweka madawati ni sawa lakini kuweka madawati tu na kuacha kuboresha vyoo sio sawa. Choo ni hitaji muhimu katika maisha hivyo wanaolalamika kuhusu hili wako sawa kabisa.
Unataka matatizo yote yatatuliwe kwa mkupuo?
 
JAMBO ZURI LKN KUNA KAZI ZAIDI KATIKA UENDESHAJI SIONI UMIHIMU WA SERIKALI KUMILIKI SHIRIKA ASILIMIA MIA JAPO WAWE MAJORITY SHAREHOLDERS SINCE THEY NEED TO MINIMIZE THE RISK MAONI YANGU
 
Nyie ndo wakushangilia mkuu! Sisi huku ambao ni asilimia zaidi kidogo ya 90 na ambao ndiyo wazalendo wa ukweli na ambao ndiyo wadau halisi wa "Hapa kazi tu" Bado tunasubiria shehena ya magwangala na Vichwa na miguu ya kuku na Sisi tusherehekee!! Sisi tufurahie mdege kwa lipi? Tunaonaga tu likipita juu,hatutarajii hata kugusa bodi lake tukiwa hai!! Labda kwa muujiza au Ndotoni,hongereni.
Usimlaumu mtu kwa maisha yako hayo yalivyo Ndivyo ulivyotaka yawe, maana kwa usemavyo hata raisi akiwa nani utakuwa hivyo hivyo.
 
Tuna laana sisi haki ya nani..nchi ya watu 46m kandege kadg kuliko ka Floyd Mayweather, hivi ratio yake ikoje? Ili waTz wote tuonje siti iyo ni baadaya mda gani?
Laana iwe kwako peke yako. Wengine tunabaraka.
 
Huu ni mwanzo tutawaletea ndege za kutosha mpaka wale wanaojiita masikini watamudu nauli. Saa ya ukombozi imefika
 
Unataka matatizo yote yatatuliwe kwa mkupuo?
Kama umesoma thread yangu ya awali nilizungumzia priorities. Ndege kwanza au CT na dawa hosipitali ? Wewe ukijenga nyumba utahamia bila choo? Hiyo itakuwa priority kabla ya kuhamia. Hivyo shule Kama haina choo haijakamilika hata ukiweka madawati ya dhahabu.
 
Hivi Kenya Airways na Ethiopia Airline wana ndege ngapi ili tujipime nao!
 
karibu home kabajaj ketu ka taifa,wabongo wanaongea sana ujue watakuteta wakiwa humo humo umewabeba,usikasirike tu ukapitiliza kiwanja na kutua shambani km mwenzio yuleee wa zamani alivyofanya kigoma.
hahaha! Babu wacha maneno
 
Back
Top Bottom